Rais wa TAHLISO na Rais wa DIT wanashikiliwa na Polisi

segwanga

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
2,789
729
Rais wa TAHLISO na rais wa DIT inasemekana wamekamatwa tangu jana na wapo kituo cha polisi cha Osterbay wakihojiwa kuhusu maandamano ya wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu yaliyopigwa marufuku na jeshi la polisi.

Rais wa tahliso ndo ring leader akisaidiwa na rais wa DIT. Inasemekana HESLB walimwambia dogo Mudede akubali wawape hela nusu kwanza wakati huo wakishughulikia mshiko wa kumalizia lakini dogo akashupaa kwamba wanataka mzigo kamili.

Marais wengine ambao kuna tetesi watapata kazi ya kuisaidia polisi hivi karibuni ni wa IFM na CBE dar. Tuendelee kupashana habari
 
Rais wa TAHLISO na rais wa DIT inasemekana wamekamatwa tangu jana na wapo kituo cha polisi cha Osterbay wakihojiwa kuhusu maandamano ya wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu yaliyopigwa marufuku na jeshi la polisi.
Rais wa tahliso ndo ring leader akisaidiwa na rais wa DIT. Inasemekana HESLB walimwambia dogo Mudede akubali wawape hela nusu kwanza wakati huo wakishughulikia mshiko wa kumalizia lakini dogo akashupaa kwamba wanataka mzigo kamili.
Marais wengine ambao kuna tetesi watapata kazi ya kuisaidia polisi hivi karibuni ni wa IFM na CBE dar.Tuendelee kupashana habari

but its not fair kwanini wasitupe pesa zetu siku zote hizo na tukisema tunaandamana wanatukamata why....???? Tufanye nini sasa jamani na pesa hatuna....
 
Back
Top Bottom