Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 27,549
- 34,877
Kwanini unamuita Malaya?....yaani kuoa wake wawili ndio umalaya?....Hakuna malaya atafanya mageuzi ya kiuchumi iwe ngazi ya familia au Taifa
Kasome historia ya dunia watu walioishape dunia uone km waliwekeza kwa malaya
Wanawake wengi wanapunguza uwezo wa kufikiri
Uyo dogo bada ya miaka mitano atakuwa na wake zaidi ya sita
Muda wa kulitumikia Taifa utakuwa mdogo sana