GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,690
- 109,104
Baada ya Mashindano mapya na yenye Heshima Kubwa sana Barani Afrika ya African Football League (AFL) Kumalizika leo hatimaye Mashabiki wa Simba SC wametwaa Tuzo ya Kipekee ya kuwa ndiyo Mashabiki Bora na wenye Mvuto Bara zima la Afrika.
Wito wangu GENTAMYCINE kwa Mashabiki Wengine Barani Afrika ni kwamba wasiwe wanaishia tu Kufakamia Supu za Ng'ombe wenye Utapiamlo au Kushangilia Ushindi mnono (na wa Kubahatisha) utokanao na Ushirikina na Kuhonga Wachezaji Waandamizi wa Timu pinzani.
Hongereni mno Mashabiki wa Simba Sports Club (SSC) hakika hii ni Heshima Kubwa Kwenu na kwa Tanzania kama nchi.
Pia soma: Shirikisho la mpira Africa (CAF) limeizawadia Simba sc tuzo ya Mashabiki Bora katika michuano ya African football league