peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 13,489
- 22,304
Kwa kifupi Katiba ya 1977 , ni bomu hata chama tawala kimekubali hilo.Hotuba yake siku ya kuapishwa kwake ilinipa matumaini makubwa sana kwake lakini baada ya hii miezi mitatu hitimisho langu ni mtu hopeless tu na ndani ya Serikali bado kuna mvutano mkubwa wa wa wale ambao hawakutaka huyo Mama awe Rais na wale wanaomkubali. Hivyo mimi sitegemei kuona mabadiliko yoyote makubwa kutoka kwa huyo mama kati ya sasa na 2025 na hastahili kuendelea kuwepo Ikulu baada ya 2025, labda atabadilika maana miezi mitatu ni kipindi kifupi mno. Nilisema hapa dhalimu ni bomu tangu 2015 na sikukosea hivyo hitimisho langu huyo mama ni bomu JINGINE.