Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 12,584
- 17,701
Hayo mahindi angekuwa katupa mshenzi muarabu mnadhani rais angesema hivyo ...hata kama muarabu angeweka sumu na kuua watz angetetewa na ccm na samia na mashehe mandazi .Kuna Mahindi ambayo Marekani imetoa msaada kwa Tanzania.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kawa na wasiwasi nayo. Amedai yamewekewa Virutubisho ambavyo havijulikani.
Pia Waziri kasema Tanzania tuna Mahindi mengi hayana Soko, hivyo wangetumia mahindi yetu na kuweka Virutubisho Watanzania wakiwa wanaona.
Mimi napendekeza, kuliko kuyamwaga, Tuchukue hayo Mahindi, Mafuta ya Alizeti na Maharage waloleta, tupakie kwenye ile ndege ya mizigoo ya ATCL tuwape msaada Wananchi wa Haiti wanaokufa Njaa.