Rais Samia, Ruvuma tumekukosea nini?

Kesho kunani

Member
Sep 10, 2023
72
191
Samia Ruvuma tumekukosea Nini?

Hili swali Nilimuuliza magufuli na Leo na kuuliza wewe. Tumekukosea Nini? Wewe na serikali yako hawa wangoni, wayao, wandendeule na wamatengo wamekukosea Nini? Inakuwaje hivi licha ya upendo wote tunaowapa wewe na chama chako?

Hivi unajua kwenye huu mkoa hawajawahi kutoa ubunge kwa upinzani tangu vyama vingi vianze? Inakuwaje Sasa mnawafanyia hivi? Why why Samia? Whyyyy (in Mac Regan voice).

Au unataka kufanya Kama alivyofanya mtangulizi wako magufuli?maana yeye hata kwenye kampeni hakuja,coz alijua aje au asije wanaruvuma watampa tu kura na kweli walimpa.Toka aingie madarakani hakuja huku Sana Sana alipita tu Kama anapita njia.

Naona na wewe unampango huo, Toka uingie madarakani hujakanyaga hii ardhi, na sidhani Kama unampango huo. Najua unajua uje au usije tutakupa tu kura.

Ila sio fair mama, wewe ni kiongozi wa wote. Inakuwaje mikoa mingine unaenda zaidi ya Mara tano na mkoa mwingine hukanyagj kabisa? Whyyyy.

Mikoa ya kaskazini wanachagua Sana upinzani lakini umeenda zaidi ya Mara mbili, sisi huku ambao ni CCM tupu why hauji?

Mmetudharau au? Ndio,mmetudharau. Najua hakuna mradi wowote mkubwa wa kuja kufungua ndo Mana hauji. Endelea kutokuja.

Lastly, wanaruvuma acheni kudanganywa kuwa mkichagua ccm ndio mtapendwa ,huo ni uongo. Oneni mikoa ya kaskazini,wanachagua upinzani lakini miradi kibao na ziara za raisi haziiishi.

Amkeni, acheni uzombi wa kukikumbatia hiki chama. Hamuoni mnadharilika.. Hawa watu wanatuona nyani....basi bana,acha nimalizie supu ya upupu.

Kesho kunani.

Kwasasa songea

Majengo mnadani, Bandani kwa mama amina.
 
Amkeni, acheni uzombi wa kukikumbatia hiki chama. Hamuoni mnadharilika.. basi bana,acha nimalizie supu ya upupu.

Kesho kunani.

Kwasasa songea

Majengo mnadani, Bandani kwa mama amina.
Mnaonekana manyani
 
Wabongo wajinga sana yaani unalilia rais are ziarani ukizani ndo maendeleo analeta..serious kabisa unalilia watu wake kula posho za safari night ya kutosha wanapata wenzako kwenye ma v8...ziara ni mchongo kaka Acha ujinga
 
We

We pungu Sana ndugu yangu.. bado upo gizani... Jitahidi kusoma Soma vitabu uongeze upeo
 
Samia Ruvuma tumekukosea Nini?

Hili swali Nilimuuliza magufuli na Leo na kuuliza wewe. Tumekukosea Nini? Wewe na serikali yako hawa wangoni, wayao, wandendeule na wamatengo wamekukosea Nini? Inakuwaje hivi licha ya upendo wote tunaowapa wewe na chama chako?

Hivi unajua kwenye huu mkoa hawajawahi kutoa ubunge kwa upinzani tangu vyama vingi vianze? Inakuwaje Sasa mnawafanyia hivi? Why why Samia? Whyyyy (in Mac Regan voice).

Au unataka kufanya Kama alivyofanya mtangulizi wako magufuli?maana yeye hata kwenye kampeni hakuja,coz alijua aje au asije wanaruvuma watampa tu kura na kweli walimpa.Toka aingie madarakani hakuja huku Sana Sana alipita tu Kama anapita njia.

Naona na wewe unampango huo, Toka uingie madarakani hujakanyaga hii ardhi, na sidhani Kama unampango huo. Najua unajua uje au usije tutakupa tu kura.

Ila sio fair mama, wewe ni kiongozi wa wote. Inakuwaje mikoa mingine unaenda zaidi ya Mara tano na mkoa mwingine hukanyagj kabisa? Whyyyy.

Mikoa ya kaskazini wanachagua Sana upinzani lakini umeenda zaidi ya Mara mbili, sisi huku ambao ni CCM tupu why hauji?

Mmetudharau au? Ndio,mmetudharau. Najua hakuna mradi wowote mkubwa wa kuja kufungua ndo Mana hauji. Endelea kutokuja.

Lastly, wanaruvuma acheni kudanganywa kuwa mkichagua ccm ndio mtapendwa ,huo ni uongo. Oneni mikoa ya kaskazini,wanachagua upinzani lakini miradi kibao na ziara za raisi haziiishi.

Amkeni, acheni uzombi wa kukikumbatia hiki chama. Hamuoni mnadharilika.. Hawa watu wanatuona nyani....basi bana,acha nimalizie supu ya upupu.

Kesho kunani.

Kwasasa songea

Majengo mnadani, Bandani kwa mama amina.
Toka lini ukapambana kupata kile ambacho tayari unacho na umejitosheleza kwacho?

Wacha tutafute vile ambavyo hatuna (tulivyopokonywa)Kanda ya Kaskazini na Ziwa...ebo! Maisha ni kuchagua!
 
Samia Ruvuma tumekukosea Nini?

Hili swali Nilimuuliza magufuli na Leo na kuuliza wewe. Tumekukosea Nini? Wewe na serikali yako hawa wangoni, wayao, wandendeule na wamatengo wamekukosea Nini? Inakuwaje hivi licha ya upendo wote tunaowapa wewe na chama chako?

Hivi unajua kwenye huu mkoa hawajawahi kutoa ubunge kwa upinzani tangu vyama vingi vianze? Inakuwaje Sasa mnawafanyia hivi? Why why Samia? Whyyyy (in Mac Regan voice).

Au unataka kufanya Kama alivyofanya mtangulizi wako magufuli?maana yeye hata kwenye kampeni hakuja,coz alijua aje au asije wanaruvuma watampa tu kura na kweli walimpa.Toka aingie madarakani hakuja huku Sana Sana alipita tu Kama anapita njia.

Naona na wewe unampango huo, Toka uingie madarakani hujakanyaga hii ardhi, na sidhani Kama unampango huo. Najua unajua uje au usije tutakupa tu kura.

Ila sio fair mama, wewe ni kiongozi wa wote. Inakuwaje mikoa mingine unaenda zaidi ya Mara tano na mkoa mwingine hukanyagj kabisa? Whyyyy.

Mikoa ya kaskazini wanachagua Sana upinzani lakini umeenda zaidi ya Mara mbili, sisi huku ambao ni CCM tupu why hauji?

Mmetudharau au? Ndio,mmetudharau. Najua hakuna mradi wowote mkubwa wa kuja kufungua ndo Mana hauji. Endelea kutokuja.

Lastly, wanaruvuma acheni kudanganywa kuwa mkichagua ccm ndio mtapendwa ,huo ni uongo. Oneni mikoa yaw kaskazini,wanachagua upinzani lakini miradi kibao na ziara za raisi haziiishi.

Amkeni, acheni uzombi wa kukikumbatia hiki chama. Hamuoni mnadharilika.. Hawa watu wanatuona nyani....basi bana,acha nimalizie supu ya upupu.

Kesho kunani.

Kwasasa songea

Majengo mnadani, Bandani kwa mama amina.
Hivi ndivyo mnavyoonekana

1695107592272.png
 
Middle class unakaa na kufikiri na kuja na mada kama hii, kweli tupo mbali sana na ndio maana loliondo umeshahama na bandari imechukuliwa, relax mkuu president sio chachu ya maendeleo, mimi nipo huku lingusenguse, toka uhuru hakujawahi no 1 kutembelea huku!!,maisha yanaendelea mkuu
 
🤔
 
Sijui akitembelea ndiyo wanapata maendeleo? CCM wanajua kanda ya kaskazini na ziwa ni kwa watu wajanja ndiyo maana muda mwingi wanajaribu kutushawishi, Dodoma Ikulu ipo pale ni lini umesikia Rais au Waziri Mkuu anafanya ziara? sababu anajua yale majitu ni majinga yataichagua CCM tena
 
Samia Ruvuma tumekukosea Nini?

Hili swali Nilimuuliza magufuli na Leo na kuuliza wewe. Tumekukosea Nini? Wewe na serikali yako hawa wangoni, wayao, wandendeule na wamatengo wamekukosea Nini? Inakuwaje hivi licha ya upendo wote tunaowapa wewe na chama chako?

Hivi unajua kwenye huu mkoa hawajawahi kutoa ubunge kwa upinzani tangu vyama vingi vianze? Inakuwaje Sasa mnawafanyia hivi? Why why Samia? Whyyyy (in Mac Regan voice).

Au unataka kufanya Kama alivyofanya mtangulizi wako magufuli?maana yeye hata kwenye kampeni hakuja,coz alijua aje au asije wanaruvuma watampa tu kura na kweli walimpa.Toka aingie madarakani hakuja huku Sana Sana alipita tu Kama anapita njia.

Naona na wewe unampango huo, Toka uingie madarakani hujakanyaga hii ardhi, na sidhani Kama unampango huo. Najua unajua uje au usije tutakupa tu kura.

Ila sio fair mama, wewe ni kiongozi wa wote. Inakuwaje mikoa mingine unaenda zaidi ya Mara tano na mkoa mwingine hukanyagj kabisa? Whyyyy.

Mikoa ya kaskazini wanachagua Sana upinzani lakini umeenda zaidi ya Mara mbili, sisi huku ambao ni CCM tupu why hauji?

Mmetudharau au? Ndio,mmetudharau. Najua hakuna mradi wowote mkubwa wa kuja kufungua ndo Mana hauji. Endelea kutokuja.

Lastly, wanaruvuma acheni kudanganywa kuwa mkichagua ccm ndio mtapendwa ,huo ni uongo. Oneni mikoa ya kaskazini,wanachagua upinzani lakini miradi kibao na ziara za raisi haziiishi.

Amkeni, acheni uzombi wa kukikumbatia hiki chama. Hamuoni mnadharilika.. Hawa watu wanatuona nyani....basi bana,acha nimalizie supu ya upupu.

Kesho kunani.

Kwasasa songea

Majengo mnadani, Bandani kwa mama amina.
Miming Mwanaruvuma, kuna Wakisi Wamatengo Wanyasa Wangoni na Wasukuma wamehamia Nchi ya wajukuu zao waliokimbia njaa Maswa na Shinyanga wakahamia Nchi ya neema. Wana Ruvuma hatuna tatizo na Serkali, wala Marehemu Magufuli wala huyu Mama. Mheshimiwa Mhagama ni ukoo wa Mtemi Nkosi, ni mwenzi wetu. Huyo mropokaji hatuwakilishi nadhani ni diaspora wa CHADEMA, wachana naye.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom