Rais Samia ni mtu wa aina gani?

vibesen xxx

JF-Expert Member
Jul 23, 2022
2,668
5,278
Rais Samia ukimtazama kwa haraka haraka ni mtu mpole na mstaarabu

Ukimsikiliza maneno yake ni mtu anayechagua sana maneno matamu ya kuzungumza kulingana na umma anaosema nao

Lakini ukiangalia sura yake kwa kina (psychology) kuna mambo yanamsumbua mambo hayo ni TANGANYIKA

Kutokana na hotuba za mara kwa mara bila kuangalia CV yake ukiniliza amebobea kwenye nini
Nitakujubu amebobea kwenye elimu ya dini na mahusiano ya jamii hasa jamii yenye utamaduni wake

Nikianza na TANGANYIKA
Kama walivyo wazanzibar wengi wakitajiwa TANGANYIKA akilini mwao huja dubwasha linaloikalia Zanzibar kimabavu

Rais Samia anaichukulia TANGANYIKA hivyo huu pia ni mtazamo wa waarabu pia

Wazanzibar wao hujiona ni Waarabu kwahiyo tuseme Waarabu weusi wa Zanzibar hujichukulua wanatawaliwa

Kwa mtazamo yakinifu Rais Samia alipochukua madaraka aliona hii ni nafasi ya kulipa kisasi kwa jinsi tulivyoteswa na TANGANYIKA

Hapo kwenye kulipa kisasi kwa kuwa Samia hana mamlaka ya kuitoa TANGANYIKA kwenye muungano njia sahihi ya yeye kulipa kisasi ikawa ni kufanya aliyofanya KASHFA YA DUBAI (kuuza nchi)

Hili la bandari kwake halikuwa gumu kwasababu alikuwa anaungwa mkono na mstaafu fulani kwahiyo ikawa ni kumsukuma mlevi (waarabu chukueni buana hata kaka yangu hana shida amebariki)

Zile hotuba za upole za samia sio yeye!

Samia halisi ni yule aliyeongea baada ya spkia ndugai kusema nchi itapigwa mnada yule ndiye Samia halisi
S
Samia ni mwenye hasira sana/hutunza vitu moyoni! Unafikiri kwanini alimfukuza Lukuvi uwaziri? Alitunza dukuduku moyoni

Samia hapendi kufanya kazi na watu ambao hawafanani utamaduni ni basi tu kwasababu yupo TANGANYIKA

Samia anaipenda Zanzibar kuliko TANGANYIKA haijalishi anaongoza wapi

Samia anaamini kuwapa bandari waarabu ni njia bora ya kulipa kisasi kwa watanganyika kwani waraabu watakuwa na nafasi ya kujitanua kiutamaduni

Itaendelea tolea lijalo

Huyo ndiye Samia
 
Turuhusiwe kuoa Wazanzibari at least tupunguze machungu, dah
 
Samia hapendi kufanya kazi na watu ambao hawafanani utamaduni ni basi tu kwasababu yupo TANGANYIKA

Samia anaipenda Zanzibar kuliko TANGANYIKA haijalishi anaongoza wapi
Kuna usemi kwenye chama chetu tunasema huwezi kumpa chakula mtoto wa jirani kabla hujampa wa kwako akashiba, na hapa imejidhihirisha
 
hapo kwenye kulioa kisasi ndio umepoteza maana ya chote ulichoandika ,afadhali ungeitaja issue ya fei toto sisi wananchi tungekuelewa
 
Rais Samia ukimtazama kwa haraka haraka ni mtu mpole na mstaarabu

Ukimsikiliza maneno yake ni mtu anayechagua sana maneno matamu ya kuzungumza kulingana na umma anaosema nao

Lakini ukiangalia sura yake kwa kina (psychology) kuna mambo yanamsumbua mambo hayo ni TANGANYIKA

Kutokana na hotuba za mara kwa mara bila kuangalia CV yake ukiniliza amebobea kwenye nini
Nitakujubu amebobea kwenye elimu ya dini na mahusiano ya jamii hasa jamii yenye utamaduni wake

Nikianza na TANGANYIKA
Kama walivyo wazanzibar wengi wakitajiwa TANGANYIKA akilini mwao huja dubwasha linaloikalia Zanzibar kimabavu

Rais Samia anaichukulia TANGANYIKA hivyo huu pia ni mtazamo wa waarabu pia

Wazanzibar wao hujiona ni Waarabu kwahiyo tuseme Waarabu weusi wa Zanzibar hujichukulua wanatawaliwa

Kwa mtazamo yakinifu Rais Samia alipochukua madaraka aliona hii ni nafasi ya kulipa kisasi kwa jinsi tulivyoteswa na TANGANYIKA

Hapo kwenye kulipa kisasi kwa kuwa Samia hana mamlaka ya kuitoa TANGANYIKA kwenye muungano njia sahihi ya yeye kulipa kisasi ikawa ni kufanya aliyofanya KASHFA YA DUBAI (kuuza nchi)

Hili la bandari kwake halikuwa gumu kwasababu alikuwa anaungwa mkono na mstaafu fulani kwahiyo ikawa ni kumsukuma mlevi (waarabu chukueni buana hata kaka yangu hana shida amebariki)

Zile hotuba za upole za samia sio yeye!

Samia halisi ni yule aliyeongea baada ya spkia ndugai kusema nchi itapigwa mnada yule ndiye Samia halisi
S
Samia ni mwenye hasira sana/hutunza vitu moyoni! Unafikiri kwanini alimfukuza Lukuvi uwaziri? Alitunza dukuduku moyoni

Samia hapendi kufanya kazi na watu ambao hawafanani utamaduni ni basi tu kwasababu yupo TANGANYIKA

Samia anaipenda Zanzibar kuliko TANGANYIKA haijalishi anaongoza wapi

Samia anaamini kuwapa bandari waarabu ni njia bora ya kulipa kisasi kwa watanganyika kwani waraabu watakuwa na nafasi ya kujitanua kiutamaduni

Itaendelea tolea lijalo

Huyo ndiye Samia
Mpelekee huo uvundo wako mamako we mbwa
 
mwarobaini wa haya yote ni serikali moja tu vunja smz vunja tanzania bara ibaki moja halafu zanzibar ibaki wilaya kama bagamoyo tu
 
Huyu mama ni kweli kwamba ana mapungufu yake. Lakini kwa haya uliyo andika mimi namtetea. Hawezi kuwa hivo, hawezi kuwa asset.
 
Back
Top Bottom