Billal Saadat
Senior Member
- Nov 30, 2022
- 169
- 356
Kutoka kipindi akiwa kama mtunza kumbukumbu she learnt the importance of investing in the nation’s intelligence community pamoja namna ya kusimamia shughuli za utawala si mtu wa kukurupuka na papara ktk maamuzi.
Tuseme ni kelele zipi ambazo yeye ni mgeni leo kwamba zitamyumbisha? Jibu ni hakuna kabisa. Ni maamuzi yapi leo atakuwa mgeni nayo. Jibu ni hakuna ni muda tu utadhirisha dhamira yake ya dhati kwa Taifa hili.
This is why she’s always been a step ahead of the system since she communicates back what she knows. Watunza kumbukumbu ni watu ambao tunapaswa kuwaheshimu wanajua kila kitu cha ofisi na mambo yajayo. Kutoka huko hadi hapa alipo anahitaji salute.
Amekulia kwenye mfumo ule wa you don’t know who is who, so you can’t weed her out, and that’s how she managed to eyeball the opposition at early stage. Anawajua viruses, rebels na day dreamers believers ndani na nje ya serikali.
She is a planner and strategist almost single-handedly for her own amechangia kiasi kikubwa kutengeneza nafasi ya kuheshimika katika ukanda wa Afrika Mashariki ukimuuliza Haichilema, Ruto na Kagame kuwa Samia ni nani watakuambia ni mmoja kati ya wana mikakati wenye nguvu Afrika na hazina kubwa ya Afrika.
Samia used every opportunity she ever had in government to plan for the next phase. She assessed her circumstance early, alijua wazi anataka kwenda wapi na vitu gani ni muhimu kwake amejijengea a rich network ya urafiki, kingine ni mwingi wa taarifa za kiintelijensia hizi alikuwa anazipata zote za kutosha na sasa anazipokea direct.
Litazame bunge la Katiba na wajumbe wake angalia pale ndipo nyota yake iling’aa katika ya wapinzani watukutu. Nyota iling’aa kiasi ambacho wasiokuwa na jicho la kawaida hawakuliona hili ndiyo maana chama hakikusita kumteua kuwa Mgombea mwenza wa Dkt. John Magufuli.
Samia stayed close to them long enough to learn and to plan. She has built her war chest that no other politician out of the duopoly has managed to. And she did it covertly that her detractors do not understand how she was able to.
Hana kifua chepesi cha kuogopa kelele za wakosoaji ila ama masikio mazuri ya kusikiliza wakosoaji si kila muda utapatia ki msingi anazihitaji kelele za wakosoaji kila wakati ili kujenga, hatowapiga virungu na kuzima mtandao kuweni huru aijenge Tanzania.
Samia anaweza kutupa vitu vingi sana kwa muda mfupi kumaliza Ikulu ya Chamwino, Daraja la Busisi, Bwawa la Mwalimu Nyerere, Reli ya SGR na Katiba mpya atawapatia na Tanzania yenye uchumi imara.