Rais Samia: Kwenye ajira za Wizara ya Mambo ya Nje mnawabeba watoto wa viongozi, wafanye kazi au wasifanye mnawabeba

557C978B-5A89-4759-BB31-E5A25AD827B0.jpeg
 
Ni jambo jema kama Rais Samia umeliona jambo hili la upendeleo Kwa Watoto wa Viongozi na Vigogo wakiwepo Watoto wako.

Hakuna mtu anasema Watoto wa Viongozi wasipate kazi ila kuwe na mazingira shindani na mtu apate kazi Kwa merit sio Kwa connection na jina la ukooo wake au Mzazi wake.

Hili swala kwa Tanzania hii limekuwa Sugu na Serikali ya Mwendazake ndio ililileta hasa kwenye nafasi za Uteuzi na wewe umeliendeleza.

Ushauri wangu, kwenye nafasi za Uteuzi mnazolenga kulinda chama chenu mnaweza endelea kuteuana Kwa sababu mnasababu za kufanya hivyo but kwenye nafasi zinazohitaji utaalamu Chonde Chonde vigezo, masharti na sifa zizingatiwe Ili walau Watoto wa Maskini wapate fursa na kiuhalisia walio wengi ndio wenye uwezo kuliko Watoto wa vigogo.

View: https://youtu.be/gmGtTmck-zQ?si=xYKT3n3lKl2e63Qm

My Take:
Kujirekebisha kusiishie Wizara ya mambo ya Nje tuu Bali nafasi zote ambazo ni nono kama Tanapa, TanRoads, BoT, NSSF, EWURA,TCRA nk.

aloo, wanyonge waendelee tu na uafisa usafirishaji.
 
Baba yako kuwa kiongozi wa CCM nayo ni Merit waache wapewe wasije wakatusumbua.
 
Back
Top Bottom