Rais Samia jenga barabara ya njia nane Dar to Mwanza, Morogoro to Mbeya, Dar to Arusha

😂😂😂😂😂😂 daaah we jamaa🙌🏾
mimi nimekwambia ukweli ndugu yangu...nchi yetu ipo mikononi mwa majambazi tunatakiwa kufanya matukio kama ya kina JUMONG...! kumbe zile muvi za kikorea zina maana kubwa sana kuna mambo yana kera sana ukiyajua undani wake😭😭😭😭😭😭😭​
 
Back
Top Bottom