Rais Samia huwa haongelei ajira kwa vijana wasio na kazi kama marais wa Kenya na Rwanda

Kijana LOGICS

Senior Member
Dec 16, 2023
140
525
Huwezi kusikia hâta siku MOJA rais Samia akisema serikali itafanya moja MBILI Tatu kuajiri vijana jobless Tanzania.

Ni kama vijana wamesahalika kabsa hâta ajira zikitoka zinakua chache mno.

Kama VP serikali iongeze Kodi vijana jobless wapatiwe ajira kutokana n'a pesa za tozo

Mfano rais wa Kenya anatoa speech mbali mbali namna vijan wa Kenya watapatiwa ajira.

Bora maguful alisema Tanzania ya viwanda manake vijana wangepata ajira wiwandani.

Mimi ni jobless miaka 6 Niko mtaani masomo chemistry na biology
 
Huwezi kusikia hâta Siku MOJA rais Samia akisema serikali itafanya moja MBILI Tatu kuajiri vijana jobless Tanzania.

Ni kama vijana wamesahalika kabsa hâta ajira zikitoka zinakua chache mno.

Kama VP serikali iongeze Kodi vijana jobless wapatiwe ajira kutokana n'a pesa za tozo

Mfano rais WA Kenya anatoa speech mbali mbali namna vijan WA Kenya watapatiwa ajira.

Bora maguful alisema Tanzania ya viwanda manake vijana wangepata ajira wiwandani.

Mimi ni jobless miaka 6 Niko mtaani masomo chemistry na biology
miaka yote ndio maisha yetu hayo, viongozi wanajali maisha yao .ilikuwaje mpaka ukasoma hayo masomo ,sasa hivi jira mpaka uzipambanie au pangiwi tu.
 
ulichosomea ulikuwa unataka uwe nan?,ndio usimamie hapo. kikawaida unatakiwa usomee vitu unavyo viweza na kuvipenda sio kufata mkumbo course gani inalipa.
Sio unataka kua nan Kaz Gan inalipa.
Nazungumzia ukosefu WA ajira kila sector ni Serious business
 
Huwezi kusikia hâta siku MOJA rais Samia akisema serikali itafanya moja MBILI Tatu kuajiri vijana jobless Tanzania.

Ni kama vijana wamesahalika kabsa hâta ajira zikitoka zinakua chache mno.

Kama VP serikali iongeze Kodi vijana jobless wapatiwe ajira kutokana n'a pesa za tozo

Mfano rais wa Kenya anatoa speech mbali mbali namna vijan wa Kenya watapatiwa ajira.

Bora maguful alisema Tanzania ya viwanda manake vijana wangepata ajira wiwandani.

Mimi ni jobless miaka 6 Niko mtaani masomo chemistry na biology
Inamana umehitimu 2017 mkuu??
 
Hiki ndio kinachokuponza
 
Attachments

  • Screenshot_20240111_071459_Chrome.jpg
    Screenshot_20240111_071459_Chrome.jpg
    166.6 KB · Views: 1
Wanasema ajira zipo kibao..

1. Bodaboda
2. Uwinga
3. Uchawa
4. Kuuza account za Instagram...
Mwezi huu toka uanze nimecheka kwa mala ya kwanza kwa hili bandiko lako.
Ada za watoto zimesababisha ninune tu.

Asante Mama Tanganyika.
 
Huwezi kusikia hâta siku MOJA rais Samia akisema serikali itafanya moja MBILI Tatu kuajiri vijana jobless Tanzania
Hawezi kuongelea maana hakuna mikakati anayopewa na watendaji wake..

Bora maguful alisema Tanzania ya viwanda manake vijana wangepata ajira wiwandani.
Huyo hata usomwongelee ndio chanzo cha hii changamoto aliweka petrol kwenye nyasi kavu.

Mimi ni jobless miaka 6 Niko mtaani masomo chemistry na biology
Wewe nae ni mzembe ungekuwa umesoma kiswahili ningekusamehe ila chemistry na biology si uchanganye mechical mbalimbali utoe bidhaa tofauti tofauti uuze..
Changanya ma meth huko toa ata cocaine wewe ni tajiri sema huna mipango..
 
Back
Top Bottom