Rais Samia, hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyoiuza kwa DP World ni hii hii The United Republic of Tanzania? (Angalia kifungu nilichoweka)

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
Kwa mujibu wa kipengele hiki kilichopo kwenye IGA kati ya Tanzania na Dubai Ports kuna nchi inayoitwa "Tanzania" ambayo Rais Samia ameuza special economic areas zake zote kwa DP World.
Screenshot_20230730-102521_PDF Reader.jpg

Sasa naomba kukuuliza Rais Samia. Hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyouza operations zote za special economic zones including land, Water and Air space kwa Dubai Ports. Je, ni hii hii inayoitwa The United Republic of Tanzania?

Nikuulize swali la mwisho. Uliposaini huu mkataba ulikuwa unajua unachokifanya?
 
Ameiuzaje? Shilingi ngapi? Makabidhiano yanafanyika lini? Kwa utaratibu upi?
Nchi hii imepiganiwa, damu za watu zilimwagika ili iwe urithi wa wawatoto na wajukuu na vitukuu vyetu

Unapoamua kuwarithisha wageni sehemu na ama eneo lolote la nchi yetu kwa mkataba usioisha, maana yake unaanza kuondoa uhalali wa sisi kama watanzania kuwa huru katika nchi yetu na kwamba unakaribisha wageni nao wawe sehemu ya urithi usio urithi wao!

Hiyo ndiyo maana ya kuiuza nchi
 
Wageni gani wamerithishwa sehemu ya nchi yetu? Wamerithishwaje?
 
Kwa mujibu wa kipengele hiki kilichopo kwenye IGA kati ya Tanzania na Dubai Ports kuna nchi inayoitwa "Tanzania" ambayo Rais Samia ameuza special economic areas zake zote kwa DP World.
View attachment 2702883

Sasa naomba kukuuliza Rais Samia. Hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyouza operations zote za special economic zones including land, Water and Air space kwa Dubai Ports. Je, ni hii hii inayoitwa The United Republic of Tanzania?

Nikuulize swali la mwisho. Uliposaini huu mkataba ulikuwa unajua unachokifanya?
Mwacheni samia wetu achape kazi bwana kila siku mambo yale yale mnaandika.Badala ya kushauri nini kifanyike mnalaumu tu ''hata lini mtaendelea kulaumu ?Jueni kwamba dakika 90 bado hazijaisha ni swala la mda tu samia atang'ara.
 
Kwa hili amechemsha vibaya mno
 
Mungu akubariki 👏
 
Mwacheni samia wetu achape kazi bwana kila siku mambo yale yale mnaandika.Badala ya kushauri nini kifanyike mnalaumu tu ''hata lini mtaendelea kulaumu ?Jueni kwamba dakika 90 bado hazijaisha ni swala la mda tu samia atang'ara.
Ana washauri wake wakiboronga tunapiga spana
 
Ameiuzaje? Shilingi ngapi? Makabidhiano yanafanyika lini? Kwa utaratibu upi?
Wewe acha maswali ya kijinga!
Samia alipoenda Dubai kusaini huo mkataba alitujulisha ?!
Mbona alienda kimya kimya!

Akimaliza Urais wake 2025 anaweza kwenda kuishi Dubai yeye na akina Mbarawa ila sisi hatuna pa kwenda!

Watu wenye akili wanapozungumza kaa mbali au nenda kamsikilize Wassira na Sofia Mjema ndo level zako na CCM yetu!
 
Alienda kimya kimya kwa mujibu wa nani?

Back
Top Bottom