Rais Samia Hawezi Kushushwa na wenye chuki Binafsi

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,356
9,788
Ndugu zangu watanzania,

Kuna watu ukiwasikiliza,ukiwatazama,ukiwafuatilia maneno yao unaona Namna wanavyopambana , kuhangaika, kuteseka na kupoteza muda wao mwingi katika kujaribu kupandikiza mbegu ya chuki kwa wananchi ili Kumjengea Taswira mbaya Rais wetu. Wanatamani waingie katika mioyo ya watanzania iliyoshiba jina la Rais samia, kuridhishwa na uchapa kazi wake na kuwa na matumaini makubwa na uongozi wake katika kutimiza ndoto zao, ili watanzania hawa wazalendo wamchukie Rais samia na kuanza kumshambulia kila kona.

Kuna watu wanaojificha kwenye makoti ya uanaharakati na kujiita majina ya uongo uongo katika kuwahadaa wananchi,wanahangaika kutwa nzima kujaribu kumshusha Rais samia,wanateseka mioyo yao muda wote na kumshambulia kwa lugha chafu zisizo na staha ,heshima wala adabu ili kujaribu kupunguza umaarufu wa Rais samia kwa wananchi jambo ambalo hata hivyo limeshindikana kufanikiwa.

Hawafanikiwi na hawatafanikisha adhima yao ovu na mbaya kwa kuwa wameshajulikana malengo yao , watanzania wameshawashitukia, watanzania wameshajuwa kuwa wana ajenda zao za siri nyuma yao zinazosogezwa kwa mikakati na kutumia baadhi ya watu kupenyeza ajenda zao ili kufikia malengo yao ya kutaka kumvuruga rais samia na kumpotezea Dira, jambo ambalo hata hivyo limeshindikana kufanikiwa kutokana na utulivu wa kiuongozi wa Rais samia. wakati wote mama yetu hajawapa nafasi ,anazungumza panapohitajika kufanya hivyo kwa wakati na muda muafaka, hakurupuki wala kuendeshwa na jazba au hasira.Hali ambayo inawatesa sanaa wenye nia ovu, ndio maana muda mwingine hutamka hadharani kuwa wanamtaka Rais samia ajitokeze hadharani kusema neno.

Watanzania wanafahamu ya kuwa hawa wazungumzaji na waropokaji wa hadharani ni vimvuli tu,ni sanamu tu, ni vinyago tu vinavyochongwa tu na watu walionyuma yao na ajenda zao,hawa ni kama makasuku wa kuimba ngonjera za wafadhili wao wenye kutaka kumkwamisha mama yetu katika kuwatumikia watanzania. Ushupavu na umashuhuri wa Rais samia ni jambo linalowatesa sana wenye chuki binafsi na Rais samia.

Imani ya Watanzania bado ni kubwa sana kwa Rais samia,najuwa hawa wenye chuki binafsi na Rais wataendelea kuhangaika lakini hawatafanikisha,hawatamtikisa Rais samia,Hawatampoteza wala kumkatisha Tamaa katika Dhamira yake njema ya kuwatumikia watanzania,.Rais Samia anatambua ya kuwa uongozi unahitaji ngozi ngumu,anafahamu ya kuwa siyo wote wanaofurahia namna anavyokubalika na kupendwa na mamilioni ya Watanzania,anafahamu kuna watu wanakesha wakiomba achukiwe na watanzania au ashambuliwe na watanzania au asiungwe mkono na wananchi. Rais samia anatambua hayo yote ndio maana anaendelea kuwa mtulivu na kuwahudumia wananchi ambao ndio wenye nchi na ambao wamekuwa wakimuunga mkono muda wote wa uongozi wake.

Kitu pekee ambacho baadhi ya watu wanashindwa kuelewa ni kuwa uongozi unatoka kwa Mungu,Ni Mungu pekee awezaye kumuinua na kumpa mtu uongozi,huyo ndiye humuandaa mtu na njia zake,huyo ndio humpatia mtu maarifa,huyo ndio humpatia mtu kibali mbele za watu,huyo ndio humpatia maarifa mtu ya kuwaongoza watu wake ,huyo ndio humpaka mafuta mtu na asiweze kuchafuliwa wala kupauka kiuongozi. Siyo pesa zinunuazo uongozi, siyo matusi wala hujuma wala chuki wala visa wala ubaguzi uwezao kumpatia mtu uongozi.ingekuwa hayo ndio yanampa mtu uongozi basi hata wauza madawa ya kulevya wangeshika madaraka ya urais. Mama samia ataendelea kusonga mbele kwa kishindo na hakuna atakaye fanikisha kukwamisha dhamira yake njema kwetu watanzania

Kazi iendelee,mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Imani ya watanzania kwa samia umeipima vipi?kwa utafiti upi?nchi ambayo vyombo vya habari vinaogopa kuikosoa serikali,visije vikanyanganywa resend,wewe utafiti wako umeupata wapi?
 
Mavi ya kande.
 
Ni kweli kabisa. Lakini atajishusha mwenyewe kwa maamuzi ya hovyo. Kama ambavyo atajipaisha mwenyewe kwa maamuzi mazuri.

The biggest part of being a leader is decision making and bearing the consequences of those decisions as well as the decisions made by your subordinates on your behalf.

Ubinafsishaji no sera nzuri tena sana tu, lakini ni lazima ifanyike kwa umakini na kuzingatia maslahi ya taifa. Wakati wa Mkapa tunaweza kuwa na excuse kuwa ndio tulikuwa tunajifunza, kwa sasa excuse yetu ni nini? Kutafuta fedha za uchaguzi 2025? Hayo ndio maslahi mapana ya taifa??
 
Mwanangu ngoma zote hizi unazoimba lakini waaaapi hujala teuzi.
Sasa Anza kujiita Lucas Shabani may be ataona kitu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom