Rais Samia atembelea Maeneo yaliyoathirika na Kimbunga Freddy, Blantyre nchini Malawi

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,035
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye eneo la Kapeni "view point" pamoja na Rais wa Malawi Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati walipokuwa wakiangalia maeneo hayo yaliyoathiriwa vibaya na kimbunga cha kitropiki cha Freddy, Blantyre nchini Malawi tarehe 7 Julai, 2023.

1, (1).jpg

3 (13).jpg
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye eneo la Kapeni "view point" pamoja na Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus...
Naona rais wa Malawi aliamua kupaka yomboo kabisa
 
long live relationship between Tanzania na Malawi.

wamalawi ni ndugu zetu ndio maana walipo pata mafa ya kimbuga tulijitoa kwa hali na mali kuwasaidi ndugu zetu.

Uhusiano na udugu wetu uliasisiwa na waasisi wetu, J.K Nyerere na Kamuzu Banda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom