Nadhani Kuna shida sehemu kwenye hizo namba, yaani msumbiji kwa mwaka wa 2020 tulifanya nao biashara yenye thamani ya trilioni 53? Au Zuhura alitaka kumaanisha nini?Shilingi bil 46,000 ni trillion 46.
Hilo jina Msumbiji munatumia nyinyi Watz, wenyewe wala hawana habari nalo.Kitu cha ajabu sana. Tumeikomboa Msumbiji na ikafikia tukawa na medali za Msumbiji halafu leo ndipo tunatia saini makubaliano ya kushirikiana kiulinzi?
Rais wa nchi Ndio Balozi Namba moja na mwanadiplomasia namba moja wa nchi yetu, mabalozi Ni wawakilishi tu wanaopaswa kufuata maelekezo ya mh Rais wetu mpendwa, kwa hiyo Rais anapokuwa mahali fulani katika nchi ya ugenini kauli zake nguvu zake na sauti yake haiwi sawa na ya Balozi,Ukweli ndio huo..
Kazi ya mabalozi anafanya wakati kawachagua mwenyewe.
Kitu cha ajabu sana. Tumeikomboa Msumbiji na ikafikia tukawa na medali za Msumbiji halafu leo ndipo tunatia saini makubaliano ya kushirikiana kiulinzi?
Jina ni jina tu, tunaita Uingereza lakini wao wanaita UK, na hata Marekani wao wenyewe wanjiita America. Kwa hiyo sis kusema msumbiji wao wakita jina jingine siyo Tatizo kabisa.Hilo jina Msumbiji munatumia nyinyi Watz, wenyewe wala hawana habari nalo.
Hayo ya ukombozi kwani Afrika ya Kusini pia hatukusaidia kukomboa? Mbona wanatushiti tu kama vitakataka?
Ule ulikuwa ni ushirikiano wa 'Frontline states' sidhani kama kulikuwa na makubaliano ya aina ya 'bilateral'Unachojibu ni tofauti na nilivyoandika. Sikuwa na maana ya kutaka kukumbatiwa, bali ni kwamba tangu miaka sitini na sabini tulikuwa na ushirikiano wa kijeshi na Flerimo ambao uliendelea hata baada ya uhuru wa Msumbiji. Ndiyo maana nashangaa kuwa kulikuwa na ushirikiano hao bila kuwapo makubaliano mpaka leo ndipo yanatiwa sahihi?
Source muulize magufuli.Source? Mataga mtakoma safari hii.
Kwenda zako huko wewe, utakufa na chuki zakoNilivyoona taarifa ikulu nikajua BASI LA KIMBINYIKO limetuamulia utata wa uhai wa kibibi hiki
Wanataka kutuaminisha kuwa biashara ya vinyago ina pesa hivyo.Shilingi bil 46,000 ni trillion 46.
Mtoto wenu na kawazidi maendeleo?Msumbiji ni mtoto wetu safi sana Mheshimiwa Rais.
Wacha haya maneno! Ni maneno yasiyo na utaifa, busara, utu na heshima. 🙏🙏🙏Nilivyoona taarifa ikulu nikajua BASI LA KIMBINYIKO limetuamulia utata wa uhai wa kibibi hiki