imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 47,346
- 72,480
Tanzania yangu ni sehemu ya Dunia hatuwezi kujitenga na kujifungia kama Wachawi.Matokeo ya diplomasia ni hizi tozo?
Mna matope vichwani
Tanzania yangu ni sehemu ya Dunia hatuwezi kujitenga na kujifungia kama Wachawi.Matokeo ya diplomasia ni hizi tozo?
Mna matope vichwani
Kama Balozi wa Tanzania Nchini Malawi anajirekodi akikata viuno na kusifia Vieitee bora Raisi wangu mpendwa apasue anga.Lazima rais, mabalozi kazi yao nini mkuu?
Samia mwenyewe mchawi.hatuwezi kujitenga na kujifungia kama Wachawi.
Source? Mataga mtakoma safari hii.Samia mwenyewe mchawi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika ziara ya Kiserikali nchini Msumbiji leo tarehe 21 Septemba, 2022.
Rais Samia ametaka ushirikiano wa ulinzi baina ya nchi hizi mbili hasa ule wa mipaka ulio anzishwa tangu miaka ya 1980 uendelezwe hasa kwenye kipindi hiki muhimu cha kupambana na ugaidi.
Amegusia pia jitihada za kuongeza ushirikiano wa kibiashara kati ya Tanzania na Msumbiji, pia namna bora ya kutumia fursa za kibiashara zilizopo baina ya nchi hizi mbili.
Upande wa elimu wameafikiana kubadilishana wanafunzi, aidha lugha ya kiswahili kwa sasa itapewa kipaumbele nchini Msumbiji.
Kupitia safari hii, Rais Samia anaamini ukurasa mpya wa ushirikiano mwema kati ya Msumbiji na Tanzania utafunguka.
Mfia dini huna maana, pumbavu mkubwaAdui ya Watanzania ni CCM.
Nani kawa chagua? Ila ujajibu kazi ya balozi mkuu.Kama Balozi wa Tanzania Nchini Malawi anajirekodi akikata viuno na kusifia Vieitee bora Raisi wangu mpendwa apasue anga.
Balozi wetu Zimbabwe pia ni wa hovyo.
Sio kweli.To be realistic huyu mtu anapenda kuzurula tu.
Ukweli ndio huo..Sio kweli.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika ziara ya Kiserikali nchini Msumbiji leo tarehe 21 Septemba, 2022.
Rais Samia ametaka ushirikiano wa ulinzi baina ya nchi hizi mbili hasa ule wa mipaka ulio anzishwa tangu miaka ya 1980 uendelezwe hasa kwenye kipindi hiki muhimu cha kupambana na ugaidi.
Amegusia pia jitihada za kuongeza ushirikiano wa kibiashara kati ya Tanzania na Msumbiji, pia namna bora ya kutumia fursa za kibiashara zilizopo baina ya nchi hizi mbili.
Upande wa elimu wameafikiana kubadilishana wanafunzi, aidha lugha ya kiswahili kwa sasa itapewa kipaumbele nchini Msumbiji.
Kupitia safari hii, Rais Samia anaamini ukurasa mpya wa ushirikiano mwema kati ya Msumbiji na Tanzania utafunguka.
Tozo zimepunguzwa na zingine kuondolewa lengo la kuondoa tozo ni kumuinua mtanzania na sio kumdidimiza na Rais Samia Suluhu kupitia hizi ziara zake anakuza diplomasia ya uchumiHapo tumepigwa mkuu hadi miaka yake 10 iishe tutakuwa tuna vi biongo Kwa uzito wa tozo huku zikitumiwa Kwa nauli za kupigia misele.
Mambo ya Diplomasia ni mengi ndugu.Ukweli ndio huo..
Kazi ya mabalozi anafanya wakati kawachagua mwenyewe.
Sehemu inayostahili ni ipi!?..wewe ni mtaalamu wa 'misafara ya viongozi'!?..una vyanzo vyovyote vya intelijensia?Apunguze ukubwa wa misafara, ili fedha ziende sehemu inayostahili.
Unamjibu mtu ambae ni punguani punga hajui loloteSehemu inayostahili ni ipi!?..wewe ni mtaalamu wa 'misafara ya viongozi'!?..una vyanzo vyovyote vya intelijensia?
Ziko sehemu nyingi zinazohitaji fedha kuliko kuichoma kqenye misafara mikubwa.Sehemu inayostahili ni ipi!
Rais Samia anaamini ukurasa mpya wa ushirikiano mwema kati ya Msumbiji na Tanzania utafunguka.
Presidente da Tanzânia efectua uma visita de Estado a Moçambique. Já esta quarta-feira Samia Suluhu será recebida pelo Presidente Nyusi na Presidência da República para Conversações Oficiais.
Mozambique and Tanzania have just signed two cooperation agreements in Maputo with a focus on combating terrorism and fighting crime.
Mozambique is currently fighting Islamist militants in the gas-rich northern Cabo Delgado region of the country.
The agreements were signed as part of a four-day official visit that of Tanzania's President Samia Suluhu Hassan is making to Mozambique.
In addition to fighting jihadists, President Filipe Nyusi said the two countries were currently focused on the exploitation of hydrocarbons which form the building blocks of vital energy sources like coal and gas.
President Samia also highlighted the need for both countries to strengthen security because of the extensive common border they share
Msafara 'mkubwa' unasababishwa na nini!?Ziko sehemu nyingi zinazohitaji fedha kuliko kuichoma kqenye misafara mikubwa.