Rais Samia abaki na Urais, Uenyekiti wa chama apewe mwingine ili kuondoa mkanganyiko

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,295
21,430
Pamoja na kwamba ukiona mwana CCM yoyote anashupalia jambo basi ujue anamaslahi yake binafsi!

Lakini kwa hili la kutenganisha Mamlaka ya kichama na Urais!

Niseme wazi kabisa pamoja na maslahi yao kichama, pia kama taifa tutasonga pamoja!

Ifahamike kwamba Ili mwana CCM apitishwe kugombea Ubunge lazima kuwepo baraka za mwenyekiti!

Hilo pekee yake linachangia sana kudumaza Bunge lijae wapambe wanaosifu na kuabudu!

Naomba tujifunze kuona Hekima kwenye kundi la vichaa!

Kuliko kuwa na kofia mbili tumuombe mama kwa hekima kabisa akubali kubaki na Ushungi!

Moja ya ujinga wa wazee wengi hufanya nikuwaaminisha watoto vitu vizuri ni Mwiko!

IMG_20210426_173530.jpg

IMG_20210426_173536.jpg

IMG_20210426_173539.jpg
 
Sipati picha mbilinge itakayotokea baina ya raisi na chama
Hakuna! Chama kina mipaka yake na Rais anakazi zake! Hakuna mbilinge Bali chama kitakuwa kinauwezo wa kumshauri vyrma
 
Pamoja na kwamba ukiona maana CCM yoyote anashupalia jambo basi ujue anamaslahi yake binafsi!

Lakini kwa hili la kutenganisha Mamlaka ya kichama na Urais!

Niseme wazi kabisa pamoja na maslahi yao kichama, pia kama taifa tutasonga pamoja!

Ifahamike kwamba Ili mwana CCM apitishwe kugombea Ubunge lazima kuwepo baraka za mwenyekiti!

Hilo pekee yake linachangia sana kudumaza Bunge lijae wapambe wanaosifu na kuabudu!

Naomba tujifunze kuona Hekima kwenye kundi la vichaa!

Kuliko kuwa na kofia mbili tumuombe mama kwa hekima kabisa akubali kubaki na Ushungi!

Moja ya ujinga wa wazee wengi hufanya nikuwaaminisha watoto vitu vizuri ni Mwiko!
Hiyo sii dawa,dawa ni uhuru wa kufanya siasa ,na katiba mpya
 
Hili lingefaa kwenye mwaka 2025. Sa hivi mpeni mama kilicho chacke..

Huyu mama najua anatesa watu vichwa kwasababu tatu.

1.Kuwa Raisi mwanamke(hapa watu wa kanda ya ziwa na wenye kupenda mfumo dume wanaumia sana, hili swala nadhani wanajutia hata kwanini Magu alichagua msaidiazi mwanamke.)

2. Raisi Wakike alafu Mwislam(ukweli wengi inawakera sana kuona shungi ikiongoza nchi ) Ila kwa upande wangu bora tumepata wa hivi kuliko tungepata Raisi wale wanajiiti kutetea haki za wanawake tungekoma.

3. Raisi wa kike kutokea Zanzibar. yaaan hi imepeleka hadi Humu JF mada ya muungano kuwa nyingi ilimradi tupate chakumtoa mama madarakani
 
Pamoja na kwamba ukiona mwana CCM yoyote anashupalia jambo basi ujue anamaslahi yake binafsi!

Lakini kwa hili la kutenganisha Mamlaka ya kichama na Urais!

Niseme wazi kabisa pamoja na maslahi yao kichama, pia kama taifa tutasonga pamoja!

Ifahamike kwamba Ili mwana CCM apitishwe kugombea Ubunge lazima kuwepo baraka za mwenyekiti!

Hilo pekee yake linachangia sana kudumaza Bunge lijae wapambe wanaosifu na kuabudu!

Naomba tujifunze kuona Hekima kwenye kundi la vichaa!

Kuliko kuwa na kofia mbili tumuombe mama kwa hekima kabisa akubali kubaki na Ushungi!

Moja ya ujinga wa wazee wengi hufanya nikuwaaminisha watoto vitu vizuri ni Mwiko!

Hii hofu kubwa hivi kwa Rais kuwa mwenyekiti inasababishwa na nini?

Rais makini, wasaidizi bora na taifa imaraimara

Kazi iendelee
 
Pamoja na kwamba ukiona mwana CCM yoyote anashupalia jambo basi ujue anamaslahi yake binafsi!

Lakini kwa hili la kutenganisha Mamlaka ya kichama na Urais!

Niseme wazi kabisa pamoja na maslahi yao kichama, pia kama taifa tutasonga pamoja!

Ifahamike kwamba Ili mwana CCM apitishwe kugombea Ubunge lazima kuwepo baraka za mwenyekiti!

Hilo pekee yake linachangia sana kudumaza Bunge lijae wapambe wanaosifu na kuabudu!

Naomba tujifunze kuona Hekima kwenye kundi la vichaa!

Kuliko kuwa na kofia mbili tumuombe mama kwa hekima kabisa akubali kubaki na Ushungi!

Moja ya ujinga wa wazee wengi hufanya nikuwaaminisha watoto vitu vizuri ni Mwiko!
Mliozoea maisha yakula bila kunawa huko ugambani mmeshaanza kuhusi kutupwa nje ya ulaji tafuteni kazi mfanye sio kuwa wapambe
 
Wewe unaweza kuwa ktk kundi la pesmistics, yaani unachokiona wewe lengo kuu la Rais kuwa na kofia mbili ni kutaka kudumaza bunge.

Yaani huwezi ukaenda mbali zaidi kuona tu kwamba ni kuepusha migongano isiyokuwa ya lazima hasa ktk masuala ya maamuzi baina ya chama na serikali.

Ishu ya kuchukua kofia mbili si suala la ' kumwomba mama' kama usemavyo wewe, ni utaratibu uliokubaliwa na wengi miaka nenda rudi. Wana CCM watakapoona ipo haja ya kuubadirisha huo utaratibu watafanya hivyo.

'Kumuomba mama' then naye akakubali ni sawa na 'kukataa madaraka' kwa sababu michakato yote huanza kwenye chama.
 
Back
Top Bottom