RingaRinga
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,038
- 505
Kama ni offer za wazi kwa masllahi ya Serikali ya Uganda wala si kuuza uzalendo, mbaya ni kutoa rushwa kwa mtu binafsi hilo hata mm sipendi kuskia kabisa.Kimsingi mimi sikatai hilo dili ninachokataa ni kutaka 'kusacrifice' uhuru na heshma ya Tanzania ili kupata dili la kibiashara. Kuna watu wapo humu wanapendekeza kuwe na 'kickbacks' kwa wajumbe wa Uganda. Haya ni maadili ya Kitanzania? Mbona tunataka kupotoka, kama ipo ipo tu, kama Muumba anataka biashara iwe yetu tutaipata tu, lakini sio kuilazimisha hata kwa kukiuka maadili. Sasa kama mtu anapendekeza tufanye biashara kinyume na baadhi ya watu wanashabikia, hilo halikubaliki na huo si uzalendo!
But kama ni kutoa offer let's say kutolipa ushuru kwa mwaka hilo nalo utasema ni kuuza utu?
Usiku mwema mkuu!