Rais Magufuli: Wanafunzi UDOM waliofeli wakatafute vyuo vya saizi yao

hivi kabla na baada ya kuwadahili bunge liliridhia kuwasomesha kwa ghalama za serikali kwa sababu ulikuwa mpango maalum kunusuru mpango wa elim ktk mkondo wa sayansi,ifike mahala ukiaminiwa dhihirisha na zingatia haki za mwanam
 
Yaan waondoke haraka wakatafute wanapostahili kulingana na elimu yao .Mi huu upuuzi sikua naujua Niliujua lst yr baada ya anko wangu kwenda Snt Joseph ya Arusha .Hawana sifa wanapata special fucult alwnc kila mwaka .Jpm chapa ilale
Hao wahindi wametoa sana hongo toka kwa waziri hadi huko kwa wadahili. Inakuwaje wawaruhusu kudahili wanafunzi ambao hawana sifa? Hakuna namna nyingine zaidi ya kuwalaumu waziri husika na watendaji wake. Uzuri Rais kasema Prof Kikula kakiri kuwa alilazimishwa. Hivyo tunaweza elewa kina nani walilazimisha.
 
Jamaa kakurupuka tena kama kawaida yake. Hawa wamepewa msaada na Serikali wa kulipia gharama zao zote za masomo na kujikimu. Kwanini Serikali badala ya kukurupuka isingeangalia ni chuo kipi hawa wanastahili kuhamishiwa na wakafanya hivyo? Wakatafute chuo size yao nani atawalipia hawa hasa ukitilia maanani wanatoka kwenye familia maskini? Huyu jamaa hana sifa hata chembe ya kuiongoza Tanzania. Sera zake za kukurupuka zinaishia kwenye majanga tu.
Nimesikia AKIMSIFIA purofesa Mkumbo wa CCM. Amesema "pamoja na kuwa anafundisha ICT, Profesa Mkumbo amesema kweli.." Je, huyu ni Mkumbo Kitila wa Ualimu na ACT Wazalendo ama mwingine?
 
Sikiliza hiyo video utaelewa. Wengine walipelekwa kwa sababu ni watoto wa wakubwa
Nyie watu muwe na aibu. Watoto wa wakubwa 7802? W.T.F Awataje hao wakubwa hata 100 tu kati ya hao 7802. This country is fcuked big time.
 
Kwa hali inavyoendelea unaweza kusema Rais John Pombe Magufuli si saizi ya UKAWA mpaka sasa. Wengi hawapendi kusikia hili, ila lazima lisemwe ili kutafuta dawa ya kumkabili kisiasa.

Amewazidi. Kila idara anaonyesha anaelewa masuala mengi zaidi ya UKAWA wanayofanya. Yanamezwa kwa sentensi moja anayoongea anapopewa muda wa kusema kitu. Anajibu kwa ushawishi wa hali ya juu. Wanashindwa washike wapi na hakuna chombo cha taarifa kisicho tangaza habari zake.

Naangalia sijui wiki ijayo UKAWA watakuja na nini, maana amemaliza leo katika hotuba yake ya UDSM.
Yaani nyie mimi nashindwa sana kuwaelewa. Kila akiongeacho Magufuli mnakimbilia kuwasema ukawa. Ubovu wa elimu unatugusa wote sio ukawa. Hata aliyependekeza idadi ya wanafunzi wa kusoma hiyo program alikuwa ni professor wa upinzani na Magufuli kakiri wazi. Sasa wew unaacha kumtafuta mchawi unawatafuta ukawa hadi unakera. Ongea hoja. Tazama tatizo hilo kwa upana zaidi.
 
rais jeuri,kiburi,dharau na mwenye majivuno,sifa..dhambi ya watoto hawa itawatafuna ccm..ha kuwalaani leo watoto hawa wamefukuzwa kama mbwa,mpaka wengine wamebakwa lakin cha kusikitisha mkuu wa nchi anawakejel na kuwatukana
 
Naona hapa tunapotezeana muda tu, kama una mdogo wako au shemeji yako au mchepuko wako uliupenyeza ujuavyo na ukapata nafasi ya kusoma ile kozi na mkopo akapewa tena wanapewa 100% daaah inauma mwambie akupe vyeti vyake vya form four kama atakupa anajua mbona wao hawalalami ila huku ndo midomo imewasimama kama chuchunge
 
Naona hapa Rais Magufuli KAFUNGA MJADALA wa hili suala.Maana maneno yalikua mengi sana mtaani.

No way-sasa ndiyo amefungua mjadala uwe mpana zaidi. Kila siku tunasikia sababu tofauti ya hawa vijana wa UDOM kufukuzwa. Hawa vijana hawakujipeleka wenyewe kule UDOM hivyo kuna watu wametia taifa hasara-tusubiri tuone. Kama haya yanatokea UDOM huko kwenye vyuo vingine kukoje. TCU, Wizara na management ya UDOM walikua na role gani. Haya na mengine ni maswali yanayohitaji majibu. Hivyo mjadala haujafungwa.
 
Kwa ujumla nadhani kuna mengi kiongozi bora anapaswa kujua. Jambo kuu ni kujua kipi uongee na uongee vipi. Bila kusahau wadhifa wako. Ni hatari sana kupotosha ukweli mbele ya kadamnasi kwa sababu za kisiasa pia kama kiongozi mwenye nafasi nzito ni heri uache baadhi ya maneno yatumiwe na watu wa kada za chini.
 
Hivi hawa waalimu tulio nao ambao ni failures na hao diploma special program ambao wengi wao wana div 1 na 2 bora nani ?
 
Nimesikia AKIMSIFIA purofesa Mkumbo wa CCM. Amesema "pamoja na kuwa anafundisha ICT, Profesa Mkumbo amesema kweli.." Je, huyu ni Mkumbo Kitila wa Ualimu na ACT Wazalendo ama mwingine?
Jaribu kufuatilia tena. Kama umesikia basi umesikia vibaya sana tena sana. Tuliza kichwa
 
Hii nchi mkanganyiko sana, serikali ilianzisha programme yenyewe, na ikafanya usahili yenyewe na wakijua fika wale vijana ni wa form four, wakawapatia nafasi leo hii mnawafukuza na kuwaita ni division 4 mara walipata zero, sasa mlipokuwa mnawafanyia usahili hamkujua hilo? serikali ingewaacha wakasoma hiyo course yao wakapata dip watakaofaulu vizuri wakaendelea na degree, sio sahihi kuwa mtu wa form four hawezi kusoma degree, kwani kunawatanzania wangapi wamemaliza form four wamekwenda Kenya kusoma degree?, ni wakenya wangapi wanaosoma nchi za nje tena vyuo vya maana kwa elimu ile ile ya kwao ya just form four tu wanajiunga na chuo na maisha yanakwenda? mistake kudanganya dunia kuwa elimu ya tz ni bora sana kuliko the rest of the world, kilichopo Tanzania ni utaratibu tu, culture kwamba chuo inatakiwa upitie form six kwanza, lakini sio lazima. Hapa serikali imekosea, imewapotea vijana muda na future zao, wajapan husema bila kujali wew umepita wapi ,umefikaje chuo, at the end we are looking for results only. Kama mtu wa form four kaenda chuo na kadeliver , kaajiliwa bado kadeliver vizuri that's all, mnataka nini tena? . Sawa utaratibu umekikwa lakini je nani kakiuka utaratibu huo? ni serikali au vijana hao, hataka ni watoto wa viongozi nani kawapeleka pale, hapa serikali ndo yenye makosa , lazima ikubali na iangalie jinsi ya kuwasaidia , na tuache kuwa na plan ya miaka miwili miwili, ni aibu ya karne taifa kubwa hatuna plan ya kudumu, kila siku tunakuja na plan za ajabu ajabu tu.
 
Weka paragraph kwenye habari yako
 
Back
Top Bottom