Rais Magufuli umetuvuruga wala sio siri tena. Hotuba yako ya leo Chato imezidi kuleta taharuki

Hili ndio swali la muhimu sana. Baada ya kulalamika ilibidi atoe muongozo, sasa ametuacha dilema hatuelewi tufanye nini, tushike lipi. Kama alikuwa na uwakika wa hayo yote aliyoyanena basi angechukua maamuzi palepale ya kuwawajibisha wahusika aliosema wanatumiwa na mabeberu.
Ametoa maelekezo kwa Waziri wewe kaa kimya waachie waliopewa kazi
 
Kwa hakika ameiweka Maabara Kuu katika dilemma kubwa sana. Hii ni kui-discredit Maabara hiyo. Nadhani Mkuu hata haamini kuwa idadi ya cases 480 zinazoripotiwa ni sahihi.
Tena hizo tafiti zake za kupima kondoo, mapapai, nk asingeziweka hadharani. Angemalizana na Maabara juu kwa juu bila wananchi kufahamu!
 
Wewe ndiyo hapo serious kwani hujui kuwa waziri wa Afya alipaswa atumbuliwe haraka kama kweli maabara kuna Tatizo
Sasa atumbuliwe bila uchunguzi kama vifaa vina matatizo ya viwandani je? Uchunguzi zaidi unatakiwa ndiyo maana waziri ameambiwa wafanye uchunguzi
 
Hii ya leo ni funga kazi! Wananchi tunajiuliza. Dunia mzima inatoa takwimu za uongo au ni Vipimo vyetu tu ndo vinadanganya au Wataalamu wetu tu ndo hawana ujuzi stahiki wa kuvitumia?

Maswali mengine tunayojiuliza na yametuvuraga sana sana ni :-

Je, kuanzia leo watu hawapimwi tena Korona? Watapimwaje na Vipimo vimepima mbuzi zikawa positive?

Kuanzia leo Waziri Mkuu na Waziri wa Afya hawatatoa tena update za walioambikizwa wala waliopona! Watazitoa wapi wakati vipimo haviko sawa?

Ni nani atakubali kuambiwa yuko positive wakati hata mapapai yako positive?

Walioko chini ya uangalizi wa wataalamu wataendelea kubaki huko wakati kipimo kilichowapima kimepima mafenesi na yamekutwa na Corona? Wana uhakika gani kama kweli wanaumwa wakati vipimo haviko sawia?

Ugonjwa upo na unaua na Rais amekiri hivyo, mbona hasemi mikakati iliyowazi kuudhibiti?

Kila siku tunaambiwa ni Vita vya kiuchumi, hilo liko wazi na hasa kwa mataifa makubwa.

Lakini hapa tunajiuliza pia, kwani hii Vita ya kiuchumi imeelekezwa Tanzania pekee? Yaani sisi ndo walengwa wakuu wa hii Vita ya kiuchumi kupitia Korona!? Mbona kama sielewi

Tukiacha kufuata ushauri wa kitaalamu wa WHO na wengine mataifa mengine wakafuata, huo uchumi wetu wenyewe hautegemei hizo nchi?

Tukijifungia ndani ya mikoa yetu au hata wilaya zetu (simaanishi watu wote kuwa ndani) halafu tukaruhusu safari za mizigo tu kwa utaratibu maalum kwa wiki kadhaa huo uchumi unaokufa kwa wiki tatu hadi sita tutashindwa kweli kuufufua kwa miaka kadhaa ijayo baada ya Korona?

Kwa kweli Mimi nimevurugwa kabisa! Yaani Mkuu wetu anasema Ugonjwa upo na unaua kweli kweli!! Halafu anasisitiza tena tuendelee kuchapa kazi it is not to that extent!!!

Hiyo to that extent anayotaka ifikiwe ni hadi tufe Milioni moja ndo waamini kwamba it is that extent!?!? Kwamba waanze kuzikwa watu 1000+ kwa siku ndo watakubali it is that extent!?

KWA MAONI YANGU HOTUBA KAMA HII YA LEO NDO INAWEZA KULETA TAHARUKI KWA JAMII KULIKO HATA HIZO IDADI ZA VIFO NA MAAMBUKIZI ZINAZOPINGWA NA KINA MWIGULU

Mstaafu Kikwete aliwahi kusema "za kuambiwa changanya na zako"

Stay home be safe! Vingine vyote tutakufa na wanaotuzika watakosekana!

Sent using Jamii Forums mobile app
kajivuruga mwenyewe na misukule MATAGA wenziwe.

wenye akili zetu timamu hatuwezi kuvurugwa na huu upuuzi!!
 
SI NDIO AMEJICHIMBIA CHATO CHINI YA MVUNGU
 
Hivi ndivyo ulivyo au huwa unajifanya punguani makusudi? Jadili hoja. Siyo kila wakati uandike upuuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo vitendanishi fake viliagizwa na serikali au tuliletewa na mabeberu?Hao wanaowapima wahisiwa wa Corona ni mabeberu kutoka nchi gani?Kwa nini mabeberu wote wanampenda Tanzania tu?Je,dunia yote inatumezea mate?
Rais anataka tuamini kuwa kuna mamlaka nyingine ambayo itakuja kutuokoa Sisi Watanzania?
 
Lakini hili tatizo kwetu sio kubwa Sana,,kulinganisha na nchi zinazotuzunguka.
Nasikia Kenya imepoteza Masenetor watano,kule Uganda wabunge sita nasikia walikufa pia,Rwanda ndo usiseme
Hesabu watu waliokufa sio kusema sijui wabunge kwani wote waliokufa ni watu na wako sawa mbele ya muumba wao.
 
Lakini hili tatizo kwetu sio kubwa Sana,,kulinganisha na nchi zinazotuzunguka.
Nasikia Kenya imepoteza Masenetor watano,kule Uganda wabunge sita nasikia walikufa pia,Rwanda ndo usiseme
Ukisikia uongo wa karne ndio huu sasa.
 
Tumeambiwa vipimo vinatoa majibu yasiyo sahihi kwa kuonyesha positive kwenye sampuli zilizotoka kwa wanyama,matunda na mafuta. Hapa kaangalia upande mmoja tu wa majibu ya uongo ya positive,hajagusia kabisa majibu ya uongo ya "negative" unaweza kuta kuna watu wengi tu wapo positive lakini majibu yanaonyesha negative. Hawa wataruhusiwa kurudi mitaani kuendelea kuambukiza wengine kama sampuli haitachukuliwa zaidi ya mara moja.
Naunga mkono hoja yako kwa asilimia zote
 
Hii ya leo ni funga kazi! Wananchi tunajiuliza. Dunia mzima inatoa takwimu za uongo au ni Vipimo vyetu tu ndo vinadanganya au Wataalamu wetu tu ndo hawana ujuzi stahiki wa kuvitumia?

Maswali mengine tunayojiuliza na yametuvuraga sana sana ni :-

Je, kuanzia leo watu hawapimwi tena Korona? Watapimwaje na Vipimo vimepima mbuzi zikawa positive?

Kuanzia leo Waziri Mkuu na Waziri wa Afya hawatatoa tena update za walioambikizwa wala waliopona! Watazitoa wapi wakati vipimo haviko sawa?

Ni nani atakubali kuambiwa yuko positive wakati hata mapapai yako positive?

Walioko chini ya uangalizi wa wataalamu wataendelea kubaki huko wakati kipimo kilichowapima kimepima mafenesi na yamekutwa na Corona? Wana uhakika gani kama kweli wanaumwa wakati vipimo haviko sawia?

Ugonjwa upo na unaua na Rais amekiri hivyo, mbona hasemi mikakati iliyowazi kuudhibiti?

Kila siku tunaambiwa ni Vita vya kiuchumi, hilo liko wazi na hasa kwa mataifa makubwa.

Lakini hapa tunajiuliza pia, kwani hii Vita ya kiuchumi imeelekezwa Tanzania pekee? Yaani sisi ndo walengwa wakuu wa hii Vita ya kiuchumi kupitia Korona!? Mbona kama sielewi

Tukiacha kufuata ushauri wa kitaalamu wa WHO na wengine mataifa mengine wakafuata, huo uchumi wetu wenyewe hautegemei hizo nchi?

Tukijifungia ndani ya mikoa yetu au hata wilaya zetu (simaanishi watu wote kuwa ndani) halafu tukaruhusu safari za mizigo tu kwa utaratibu maalum kwa wiki kadhaa huo uchumi unaokufa kwa wiki tatu hadi sita tutashindwa kweli kuufufua kwa miaka kadhaa ijayo baada ya Korona?

Kwa kweli Mimi nimevurugwa kabisa! Yaani Mkuu wetu anasema Ugonjwa upo na unaua kweli kweli!! Halafu anasisitiza tena tuendelee kuchapa kazi it is not to that extent!!!

Hiyo to that extent anayotaka ifikiwe ni hadi tufe Milioni moja ndo waamini kwamba it is that extent!?!? Kwamba waanze kuzikwa watu 1000+ kwa siku ndo watakubali it is that extent!?

KWA MAONI YANGU HOTUBA KAMA HII YA LEO NDO INAWEZA KULETA TAHARUKI KWA JAMII KULIKO HATA HIZO IDADI ZA VIFO NA MAAMBUKIZI ZINAZOPINGWA NA KINA MWIGULU

Mstaafu Kikwete aliwahi kusema "za kuambiwa changanya na zako"

Stay home be safe! Vingine vyote tutakufa na wanaotuzika watakosekana!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio upo nyumanyuma.... hii issue sio mpya
IMG_20200503_131319_933.jpeg
IMG_20200503_131319_937.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ndivyo ulivyo au huwa unajifanya punguani makusudi? Jadili hoja. Siyo kila wakati uandike upuuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja ikiwa.moja ni hoja zikiwa nyingi zinakuwa viroja.

Mleta mada alivyichanganya mambo kwankujaza viroja inakuwa ngumu kujibu hoja amyo haijulikani.

Tutajitahidi kuvikata kata viroja kuwa hoja.
 
Ni ngumu sana kuwalinda waafrika kutokana na madhara ya mabeberu maana wanawaamini zaidi wazungu kuliko viongozi wao sijui wazungu wametuprogram vipi hadi tunakuwa tunawasikiliza kama vile mtoto anamsikiliza mzazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom