Rais Magufuli umetuvuruga wala sio siri tena. Hotuba yako ya leo Chato imezidi kuleta taharuki

Uliepost, kwa upande wangu naona huja2mia akili na unakurupushwa na vihisia vyako vya ajabu. Acha acha acha ujinga wako narudia tena acha acha ujinga wako. Ikusanye familia yako ndio mpate hiyo taharuki yako. mwisho nayakemea mawazo haya yasiwapate wazalendo katika taarifa hii. Ushndwe ushindwe na useme amen
Amen! Ubarikiwe sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye hotuba yake amekohoa kama Mara tano hivi. Na kila akikohoa wanarudisha camera kwa Mwigulu

The guy is sick
 
Mkulu kaikoroga, anahitaji msaada.
Atajutia kauli zake, Tatizo kubwa huwa hasilizi ushauri wa waziri mkuu makamu wa Rais, ushauri wote anapokea toka kwa Daud Bashite mtu asiye na vyeti ingawa kampa cheo cha Naibu Rais
 
Inaonekana hukusikiliza hotuba yake! Unasema hajachukua hatua zozote? Kwa taarifa yako baada ya kupata taarifa kuwa kuna tatizo kwenye maabara ndipo alipowaagiza vyombo vya usalama kuchunguza ndipo wakaenda na approach hiyo ya kupeleka sample baada ya kupeleka Katibu Mkuu mpya Wizara ya Afya. Hivyo leo pia alikuwa anampa maelekezo Waziri Mpya wa Sheria na Katiba wakaliangalie swala hilo maana yake kisheria zaidi. Sasa wewe unasema hajachukua hatua? Are you serious??
Wewe ndiyo hapo serious kwani hujui kuwa waziri wa Afya alipaswa atumbuliwe haraka kama kweli maabara kuna Tatizo
 
Amezeekaa!!! Halafu alikuwa anakumbwa na kikohozi kila Mara...
Kuna kitu mtukufu amekisau, amesahau kuwa watanzania wa sasa wana upeo na uwezo wao wa kufikiri ni mkubwa kuliko washauri wake akina Naibu Rais Daud Bashite, amekariri kuwa watanzania hawajui kitu na kile anachowaza yeye ni zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM kama ile katiba ya nyerere
 
uongoz n busara, kiongoz wako ndo kitu amekosa, huu ulikuwa n wakat wa yeye kuwa karibu an wananch, lkn badala yake ndo kama ivyo
 
RAIS anatuingiza chaka, hosp za kwake, maabara za kwake, bado anasema vbaya madoc,
Lengo lake ni wananchi waache kwenda Hosptal wajazane misikini makanisani waambukizane kwa wingi wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu.
 
uongoz n busara, kiongoz wako ndo kitu amekosa, huu ulikuwa n wakat wa yeye kuwa karibu an wananch, lkn badala yake ndo kama ivyo
Angalia huu mnyororo wa washauri ndiyo unampotosha. , mshauri wake mkuu ni Daud Bashite Naibu Rais na kibaya washauri wa Daud Bashite ni Le mutuz na cyprian Musiba hapo ndipo Tabu huanzia, anasiliza ushauri wa ajabu haijapata kutokea Duniani
 
Hii ya leo ni funga kazi! Wananchi tunajiuliza. Dunia mzima inatoa takwimu za uongo au ni Vipimo vyetu tu ndo vinadanganya au Wataalamu wetu tu ndo hawana ujuzi stahiki wa kuvitumia?

Maswali mengine tunayojiuliza na yametuvuraga sana sana ni :-

Je, kuanzia leo watu hawapimwi tena Korona? Watapimwaje na Vipimo vimepima mbuzi zikawa positive?

Kuanzia leo Waziri Mkuu na Waziri wa Afya hawatatoa tena update za walioambikizwa wala waliopona! Watazitoa wapi wakati vipimo haviko sawa?

Ni nani atakubali kuambiwa yuko positive wakati hata mapapai yako positive?

Walioko chini ya uangalizi wa wataalamu wataendelea kubaki huko wakati kipimo kilichowapima kimepima mafenesi na yamekutwa na Corona? Wana uhakika gani kama kweli wanaumwa wakati vipimo haviko sawia?

Ugonjwa upo na unaua na Rais amekiri hivyo, mbona hasemi mikakati iliyowazi kuudhibiti?

Kila siku tunaambiwa ni Vita vya kiuchumi, hilo liko wazi na hasa kwa mataifa makubwa.

Lakini hapa tunajiuliza pia, kwani hii Vita ya kiuchumi imeelekezwa Tanzania pekee? Yaani sisi ndo walengwa wakuu wa hii Vita ya kiuchumi kupitia Korona!? Mbona kama sielewi

Tukiacha kufuata ushauri wa kitaalamu wa WHO na wengine mataifa mengine wakafuata, huo uchumi wetu wenyewe hautegemei hizo nchi?

Tukijifungia ndani ya mikoa yetu au hata wilaya zetu (simaanishi watu wote kuwa ndani) halafu tukaruhusu safari za mizigo tu kwa utaratibu maalum kwa wiki kadhaa huo uchumi unaokufa kwa wiki tatu hadi sita tutashindwa kweli kuufufua kwa miaka kadhaa ijayo baada ya Korona?

Kwa kweli Mimi nimevurugwa kabisa! Yaani Mkuu wetu anasema Ugonjwa upo na unaua kweli kweli!! Halafu anasisitiza tena tuendelee kuchapa kazi it is not to that extent!!!

Hiyo to that extent anayotaka ifikiwe ni hadi tufe Milioni moja ndo waamini kwamba it is that extent!?!? Kwamba waanze kuzikwa watu 1000+ kwa siku ndo watakubali it is that extent!?

KWA MAONI YANGU HOTUBA KAMA HII YA LEO NDO INAWEZA KULETA TAHARUKI KWA JAMII KULIKO HATA HIZO IDADI ZA VIFO NA MAAMBUKIZI ZINAZOPINGWA NA KINA MWIGULU

Mstaafu Kikwete aliwahi kusema "za kuambiwa changanya na zako"

Stay home be safe! Vingine vyote tutakufa na wanaotuzika watakosekana!

Sent using Jamii Forums mobile app
1. Je wangapi mameaminishwa hawana kumbe wanao
2. Je serikali inatuambia ili tufanye nini wakati wenyewe ndiyo wameleta vifaa
Wananchi wanakufa hawana muda wa kulaumiana wakati ni wao kwa wao
 
Huyu bwana makomeo ni mjuzi wa kila jambo katika hii dunia, hata hao anasubili wam shauri sidhani kama wana mshauri bali yeye ndio anawashauri..haiwezekani ukawa mjuaji wa kila kitu katika hii dunia: kila binadamu anajua kwa sehemu then wakiunganisha fikra ndo tunapata kilicho bora na sio mawazo ya mtu mmoja yakaamua kila kitu.
 
Tunapo elekea ndio pa baya sana. Makonda pamoja na madhaifu yake lakini alijitahidi kwa kupulizia lakini aliitwa mpumbavu.

Rc wa mtwara na yeye kapata yake leo. Viongozi wa dini walio funga makanisa na misikiti wameambiwa hawana imani,tena kuwaambia viongozi wa dini hawana imani ni tusi kubwa sana ni sawa na kumwambia mwanaume husimamishi.

Nahisi viongozi wa dini na waserekali wataogopa kufanya mapambano dhidi ya corona

Sent using Jamii Forums mobile app
Soma muongozo wa WHO RC wako alichemka vibaya, sasa alinywe familia itafungua mashitaka soon.Rais kasema kweli tupu
 
Hii ya leo ni funga kazi! Wananchi tunajiuliza. Dunia mzima inatoa takwimu za uongo au ni Vipimo vyetu tu ndo vinadanganya au Wataalamu wetu tu ndo hawana ujuzi stahiki wa kuvitumia?

Maswali mengine tunayojiuliza na yametuvuraga sana sana ni :-

Je, kuanzia leo watu hawapimwi tena Korona? Watapimwaje na Vipimo vimepima mbuzi zikawa positive?

Kuanzia leo Waziri Mkuu na Waziri wa Afya hawatatoa tena update za walioambikizwa wala waliopona! Watazitoa wapi wakati vipimo haviko sawa?

Ni nani atakubali kuambiwa yuko positive wakati hata mapapai yako positive?

Walioko chini ya uangalizi wa wataalamu wataendelea kubaki huko wakati kipimo kilichowapima kimepima mafenesi na yamekutwa na Corona? Wana uhakika gani kama kweli wanaumwa wakati vipimo haviko sawia?

Ugonjwa upo na unaua na Rais amekiri hivyo, mbona hasemi mikakati iliyowazi kuudhibiti?

Kila siku tunaambiwa ni Vita vya kiuchumi, hilo liko wazi na hasa kwa mataifa makubwa.

Lakini hapa tunajiuliza pia, kwani hii Vita ya kiuchumi imeelekezwa Tanzania pekee? Yaani sisi ndo walengwa wakuu wa hii Vita ya kiuchumi kupitia Korona!? Mbona kama sielewi

Tukiacha kufuata ushauri wa kitaalamu wa WHO na wengine mataifa mengine wakafuata, huo uchumi wetu wenyewe hautegemei hizo nchi?

Tukijifungia ndani ya mikoa yetu au hata wilaya zetu (simaanishi watu wote kuwa ndani) halafu tukaruhusu safari za mizigo tu kwa utaratibu maalum kwa wiki kadhaa huo uchumi unaokufa kwa wiki tatu hadi sita tutashindwa kweli kuufufua kwa miaka kadhaa ijayo baada ya Korona?

Kwa kweli Mimi nimevurugwa kabisa! Yaani Mkuu wetu anasema Ugonjwa upo na unaua kweli kweli!! Halafu anasisitiza tena tuendelee kuchapa kazi it is not to that extent!!!

Hiyo to that extent anayotaka ifikiwe ni hadi tufe Milioni moja ndo waamini kwamba it is that extent!?!? Kwamba waanze kuzikwa watu 1000+ kwa siku ndo watakubali it is that extent!?

KWA MAONI YANGU HOTUBA KAMA HII YA LEO NDO INAWEZA KULETA TAHARUKI KWA JAMII KULIKO HATA HIZO IDADI ZA VIFO NA MAAMBUKIZI ZINAZOPINGWA NA KINA MWIGULU

Mstaafu Kikwete aliwahi kusema "za kuambiwa changanya na zako"

Stay home be safe! Vingine vyote tutakufa na wanaotuzika watakosekana!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumeambiwa vipimo vinatoa majibu yasiyo sahihi kwa kuonyesha positive kwenye sampuli zilizotoka kwa wanyama,matunda na mafuta. Hapa kaangalia upande mmoja tu wa majibu ya uongo ya positive,hajagusia kabisa majibu ya uongo ya "negative" unaweza kuta kuna watu wengi tu wapo positive lakini majibu yanaonyesha negative. Hawa wataruhusiwa kurudi mitaani kuendelea kuambukiza wengine kama sampuli haitachukuliwa zaidi ya mara moja.
 
Tatizo nyie vijana mbadanganywa na Habari za upotoshaji mtandaoni

Tuisikilize Serkali
We mzee acha kukalili, speech ya leo tumesikia live kwenye TV sio mitandao. Wewe hukusikia kama dawa inafuatwa Madagascar?
 
Back
Top Bottom