DUME SURUALI
JF-Expert Member
- Dec 8, 2016
- 782
- 1,082
Utaolew.a acha kudandia dandia bibieKama kibajaji vile
Utaolew.a acha kudandia dandia bibieKama kibajaji vile
Ni mmewe? au kakuongo uje kumpigia debeKwa hili la Dangote limedhihirisha uwezo mdogo wa waziri wa viwanda na limedhihirisha ni mpiga sound tupu na hana uwezo wa kutuletea Tanzania ya viwanda. Napendekeza JPM mteue Dr Dalali Kafumu kuwa waziri wa viwanda wasukume hili gurudumu wakisaidia na Prof Muhongo.
Mwijage mpeleke wizara ya michezo huko ndio kuna wapiga sound wanaomfaa.
Mweu tuNdo umemaliza....?
Sahihi kabisa, atupe majibuNi mawazo yako sikulaumu ila kuliko kupiga hizi porojo ungejikita kueleza uwezo wa huyo Kafumu ukiambatanisha na sifa alizonazo.
Kwanza kwa nini huyo Kafumu na sio wengine?..tuanzie hapo.
Madalali na wapiga dili mnahangaika sanaKwa hili la Dangote limedhihirisha uwezo mdogo wa waziri wa viwanda na limedhihirisha ni mpiga sound tupu na hana uwezo wa kutuletea Tanzania ya viwanda. Napendekeza JPM mteue Dr Dalali Kafumu kuwa waziri wa viwanda wasukume hili gurudumu wakisaidia na Prof Muhongo.
Mwijage mpeleke wizara ya michezo huko ndio kuna wapiga sound wanaomfaa.
Alihaidi - AliahidiKafumu alizarauliwa na JK itakua JPM.. Huyu juz Kafumu sio ndio alikua na meseji anasambaza kua tulihaidi kumpa gesi bure Dangote aende zake huko.. Ni watu walioingia katika siasa kwa bahati mbaya
Facebook generationAlihaidi - Aliahidi
Hivi watu kuweka ha badala a ni athari ya lugha zetu za asili au ni tatizo la mtu bila kujali athari ya lugha za makabila yetu?
Mara kadhaa ninashuhudia matatizo ya matumizi ya ha badala ya a, na kuna wakati a badala ya ha, za badala ya dha, r badala ya l au l badala ya r.
Ni makosa ambayo hutegemei kuyaona hata kwa mtu aliyemaliza vizuri elimu ya msingi lakini wengi wanaofanya makosa haya wana elimu ya sekondari. Tatizo ni nini hasa?
Kabla hajapewa wadhifa wowote, hebu atupe ukweli kuhusu lile sakata la kuuziwa mlima wa makaa ya mawe KABULO uliokuwa ni mali ya mradi wa kiwira.Kwa hili la Dangote limedhihirisha uwezo mdogo wa waziri wa viwanda na limedhihirisha ni mpiga sound tupu na hana uwezo wa kutuletea Tanzania ya viwanda. Napendekeza JPM mteue Dr Dalali Kafumu kuwa waziri wa viwanda wasukume hili gurudumu wakisaidia na Prof Muhongo.
Mwijage mpeleke wizara ya michezo huko ndio kuna wapiga sound wanaomfaa.
Why Dalali?
anajua nini kuhusu viwanda?
kwa nini asipelekwe nishati...?
Dalali alikuwepo wakati Dangote anaongea na Magufuli?
Kwa kipi?Kwa hili la Dangote limedhihirisha uwezo mdogo wa waziri wa viwanda na limedhihirisha ni mpiga sound tupu na hana uwezo wa kutuletea Tanzania ya viwanda. Napendekeza JPM mteue Dr Dalali Kafumu kuwa waziri wa viwanda wasukume hili gurudumu wakisaidia na Prof Muhongo.
Mwijage mpeleke wizara ya michezo huko ndio kuna wapiga sound wanaomfaa.