mkuu hawa ndio aina vijana wa mbowe alionao
akipewa hiyo kaki nane watakuja tena kulalamiki eti hawezikan aishi kwa hela ndogo hivyo lazima atakuwa mla rushwa tu ..
In fact hao vijana uliowataja ni janga la kitaifa, yaani ni wabaya kuliko wazungu na mafisadi