Rais Magufuli, mbona Majaliwa aliimba ana imani na Lowassa kulikoni ukamchagua kuwa Waziri Mkuu?

Hapa Tanzania kama ukifuatilia mitandao ya kijamii unaweza kuvurugana na cabinet yako yote..!
Wee mwache atimuetimue watumishi wa umma kisa walimuunga mkono legwanan. Nani hakumuunga mkono mmasai katika cccm? Ni percent ndogo sana. Mwishon atajikuta anajitimua hata na yeye mwenyewe.
Yetu macho, Muda utajibu.
 
Amani iwe kwenu wakuu ni majuzi tu CCM imepata mwenyekiti mpya ambaye pia ni rais wa Tanzania Mh Magufuli moja ya sehemu ya hotuba yake alimsifu mwenyekiti aliyemaliza muda wake prof.JK kuwa ni mvumilivu sana kwani ingekuwa yeye ndiye mwenyekiti halafu watu waimbe wanaimani na mtu fulani basi wale wajumbe walioimba wanaimani na mtu fulani wangeondoka wote!

Ndugu rais mbona Majaliwa aliimba ana imani na Lowassa lakini umemchagua kuwa waziri mkuu wako?

 
Hahahahahaaaaaa! Haipaswi tu kuongea bali unapaswa kuweka na ushahidi kuthibitisha hilo. Hamtafanikiwa kuwachonganisha Rais na Waziri Mkuu.

Bila shaka unamatizo si bure wewe! Hapo hakuna uchonganishi wowote hapo.

ANGALIA KWA MAKINI MWISHONI MWA HIYO CLIP. Majaliwa ameimba waziwazi.
 
Nakubaliana na wewe Mkuu. Wanachoshindwa kuelewa ni kwamba Majaliwa na Membe hawawezi kuimba kuwa wana imani na Lowasa. Nimeshangaa sana kuona eti na Membe naye anaonekana kuimba. Huu ni uchakachuaji uliopitiliza
mkuu Hawa dawa yao ni ndogo tu. Wawekee ile clip origino ambayo haijachakachuliwa
 
Angalau Maja alichombeza kidogo tunaweza kusema he was emotionally moved kutokana na rhythm ya muziki Ila Membe hapana yeye mpaka makofi anapiga! Very amazing kweli siasa ni mchezo mchafu ahaa
 
Wee mwache atimuetimue watumishi wa umma kisa walimuunga mkono legwanan. Nani hakumuunga mkono mmasai katika cccm? Ni percent ndogo sana. Mwishon atajikuta anajitimua hata na yeye mwenyewe.
Yetu macho, Muda utajibu.
Ajiamini tu yaliyopita si ndwele wagange yajayo visasi huzalisha waasi wasio na ulazima tu. Atende haki kila mtu atampenda sana tu
 
K
Kapwila matulu asante sanAAAAA......
Hata Nyie magambaaa lizaboni&co ltd angalieni videooo hiyo,pm kasimama na alioneshaaaa kuumuunga mkono el....
Nyie buku7 mnabisha Vitu visivyobishikaaa mnaumbuka kila kukichaaa
Wewe utakuwa ni mfipa ,na kwa jina lako hilo la 'kapwila matulu'ni wazi unajua maana yake!!
 
Mbona hata JK alichanganyikiwa naye akaimba anaimani na akapiga makofi pia? Team Lowassa walijiamini sana Hawakujiuliza what if na Wakawa na Plan B siku kadhaa Kabla Leo tusingemzungumzia Magu. Ila mimi naamini kwa mipango kabambe na with enough money CCM inaweza kuvurugwa kama uji na kuondolewa tena kuwa kwao ndio wanaongoza Serikali kwa mtu mwenye akili ndio mwanya mkubwa zaidi wa kuwaondoa. Anayetumia Maguvu ukitumia akili Maguvu yake mwenyewe yatakusaidia kumshinda.
 
Kwa mahakama zipi hizi zilizohongwa na magufuli bilioni 12 uliona wapi jaji anaambiwa nitakupa fedha bila utaratibu wa fedha za serikali na nayeye anakaa kimya anapewa cheki na yeye anapokea halafu utegemee kuna mahakama huru ha ha ha labda
Ninyi ndio ma gwiji wa kuandamana na kususia kila kitu..
Mbona hamuzisusii wala kuzigomea Mahakama za Tz kwa kigezo chako kwamba zimehongwa??

Au sio ninyi mliokwenda kufungua kesi Mwanza dhidi ya Polisi??

Mnasahau haraka mpaka mnaudhi..!!!
 
The average weight of a White man's brain is 1380 grams,a Black 1249. Cubic capacity-White 1481,Black 1386. In both cases this is difference of about 10%. The sutures of a Black infant's skull unite at an earlier age than a White's,thus retarding development (The Story of Man,1962,by Carleton Coon,past President of the American Association of Anthropologists.
(H:I would like you to pause here a minute and consider your response to this segment and information. This is objective and not "by opinion' and the facts go further-an' average" Jewish person is smaller than either of the above recognized "races" -but has higher IQ,larger and heavier brain. This is simply FACTUAL information- no more and no less and makes no reference to status or bias.)
 
Back
Top Bottom