Rais Magufuli, Mafuru apelekwe mahakamani sio kupangiwa kazi nyingine

Hajuagi kitu huyo jamaa mkuu,hua ni mbwembwe tu humu jukwaani.
Ungukuwa wewe ndiye unajua kitu ugekisema kuliko kudandia hoja .......

Nani Mwenye mbwembwe sasa kati yangu mi na wewe?.........

Kwanza umedandia hoja alafu eti mbwembwe ......

Naona jinsi unavyokurupuka nakwangalia......
 
Mkuu Mimi napingana na wewe kwenye Swala Moja, Hili la FBME Bank Ltd, hili umepotosha ukimhusisha Mafuru nalo...BOT Walimuapoint Mafuru kama Statutory Manager wa FBME Bank ambae mpaka sasa bado anaendelea kushikilia nafasi hiyo, baada ya Saga(la FBME) lililopo kutokea, mafuru aliitwa Simply because anaextensive knowledge base ya Tanzania Banking Industry. Na ishu ya FBME Bank si kama unavyodhani wewe hii ishu imekaa kisiasa zaidi, as US walikuwa wanataka kujipenyeza kuweka Financial Base yao mashariki ya kati kupitia Cyprus, FBME Ikawa kikwazo as its the only Strongly Private Owned Bank in there...so mpango ilikuwa nikuimaliza kwa kuifilisi kipropaganda.

My Take ; Kama umedanganya kwenye hili la FBME!!!, Sababu zipi za Msingi zitazofanya Tukuamini kwenye hizo Findings nyingine?? Mkuu kama huna solid findings za kumshutum mtu, usije kwenye majukwaa kama hivi, unajipalia makaa mwenyewe tu mzee....kwanza umeongea na kuja na sababu general sana, uwe specific the other time.
Kumbe wewe na bado ujui hata kwamba utakatishaji uliendea na Mafuru baada ya kwenda pale.....

Kama ulijui hilo basi na wewe huna taarifa za kutosha.........

Utakatishaji uliendelea hata baada ya yeye kwenda pale kwa kutumiwa na watu wakubwa waliokuwa kwenye Serikali ya awamu 4.........

Kama ujui kuwa alipelekwa kama uchochoro wa kupiga pesa na kuzitakatisha kupitia pale na aliyekuwepo alitaka kuvujisha siri za utakatishaji uliokuwa ukiendelea na akaondolewa kwa figisufigisu..........

Ukiwa na data pia ukumbuke wenzio wana data zaidi.......
 
Huyu bwana alithubutu kumpinga bosi wake hadharani kwa kusema fixed deposit siyo dhambi! Hata aibu hana! Hivi pesa zipelekwe kwenye taasisi ya serikali kwa ajili ya huduma au maendeleo halafu badala ya kufanya kazi iliyokusudiwa kwa wakati, walafi fulani wanaziweka benki kama fixed deposit ili zizae faida! Huu ucheleweshaji unasababisha walengwa wa huduma au maendeleo wakose haki yao kwa wakati, halafu anatokea mlafi fulani anasema siyo dhambi!
Halafu anadai hizi pesa zinazotokana na fixed deposit halipwi mtu binafsi! Ni kweli halipwi moja kwa moja lakini hii faida wanaitakatisha kwanza ili yawe malipo halali! Kwa kuwa pesa imepatikana kutokana na riba ya fixed deposit, watu wahusika wanaweza kuitisha semina, wanaweza kupanga safari hata kama ni safari hewa! Ili maadamu uhalali Fulani utafutwe wa kutumbua hii fedha iliyopatikana kama riba ya fixed deposit.
Napendekeza tume iundwe itakayochunguza namna fedha za riba toka fixed deposit zilivyotumika!
 
Ila we mtoa mada hua ni Bonge la Snitch halafu Mnafiki kishenzi, Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa CRDB ni ndugu Ally Laay na kabla ya hapo alikua ni ndugu Martin Mmari.Huyo Mafuru alikua Mwenyekiti CRDB lini.Halafu bank ya FNBE ni bank gani hapa Tanzania?
We pia ni snitch kama umejua usinitch wangu.......

Unaonekana na wewe ni fisadi unatakiwa kushugulikiwa ........

Kama unaona tu kosa moja la kiuandishi ili ukosoe na kushindwa kujua kuwa unaweza kuwa na data ukiwa na typing error....

Pole sana uwa nakuona tu uwa unafatilia herufi kwenye mada zangu eti unakuja kukosoa herufi.....

Shame on you ujumbe kama umekufikia na au kama uyo fisadi ni ndugu yako pole.....

Lakini mafisadi mwaka huu hawana chao tupo Rada kweli tutawashugulikia kweli kweli.......

Endelea tu kuita watu snitch siku ukishugulikiwa usilalamike........
 
Mkuu Mimi napingana na wewe kwenye Swala Moja, Hili la FBME Bank Ltd, hili umepotosha ukimhusisha Mafuru nalo...BOT Walimuapoint Mafuru kama Statutory Manager wa FBME Bank ambae mpaka sasa bado anaendelea kushikilia nafasi hiyo, baada ya Saga(la FBME) lililopo kutokea, mafuru aliitwa Simply because anaextensive knowledge base ya Tanzania Banking Industry. Na ishu ya FBME Bank si kama unavyodhani wewe hii ishu imekaa kisiasa zaidi, as US walikuwa wanataka kujipenyeza kuweka Financial Base yao mashariki ya kati kupitia Cyprus, FBME Ikawa kikwazo as its the only Strongly Private Owned Bank in there...so mpango ilikuwa nikuimaliza kwa kuifilisi kipropaganda.

My Take ; Kama umedanganya kwenye hili la FBME!!!, Sababu zipi za Msingi zitazofanya Tukuamini kwenye hizo Findings nyingine?? Mkuu kama huna solid findings za kumshutum mtu, usije kwenye majukwaa kama hivi, unajipalia makaa mwenyewe tu mzee....kwanza umeongea na kuja na sababu general sana, uwe specific the other time.
WAPO WENGI WENYE UJUZI WA BANKING WHY MAFURU? HII MICHEZO YA KULINDANA YA AWAMU ILIYOPITA HII HAIFAI AWAMU YA TANO
 
Hizi sheria za tz hata ukimfungulia kesi si hasara kwa serikali. Kesi ya mabilioni mwisho wa siku anapatikana na hatia anaishia kulipishwa faini ya laki 7. Ptyuuuuuu!
 
Kajichanganya CCM kivipi? Manake ninavyofahamu huyu jamaa kafanya kazi sekta binafsi kw muda mrefu tu... na kama ulivyosema; yupo vizuri sana! Baada ya NBC kuchukuliwa na ABSA kama sikosei, ndipo figisu figisu zikaanza! Huku na kule, jamaa yakamkuta yaliyomkuta.! JK akaona potential ya jamaa kama alivyoziona potential za wengine! Na hapa niseme jambo... back then nilikutana na government insider mmoja... anyway, alikuja kwa eneo langu nikiwa simfahamu! Baada ya kuwa impressed na huduma za pale, ndipo alipoanza kujikunjua na kunieleza kwa kirefu serikali ilivyoamua ku-import corporate culture from private to public sector kwa kuajiri brilliant executives kutoka sekta binafsi! Hapa ndipo walipochukuliwa watu kama akina Mafuru, Omari Issa na wengine kadhaa.

ha ha bila shaka wew ni mafuru mwemyew , brilliant awezi kuwa mwezi
 
ha ha bila shaka wew ni mafuru mwemyew , brilliant awezi kuwa mwezi
Kitu usichojua ni kwamba hakuna kil.aza anayeweza kuwa mwizi! Nitajie kil.aza mmoja ambae amewahi kuiba hadi watu wakaogopa....
 
Ungukuwa wewe ndiye unajua kitu ugekisema kuliko kudandia hoja .......

Nani Mwenye mbwembwe sasa kati yangu mi na wewe?.........

Kwanza umedandia hoja alafu eti mbwembwe ......

Naona jinsi unavyokurupuka nakwangalia......
Kwahio ulikua na kiherehere cha kupost useless thread ili uonekane unajua,rubbish takataka.
 
Ungukuwa wewe ndiye unajua kitu ugekisema kuliko kudandia hoja .......

Nani Mwenye mbwembwe sasa kati yangu mi na wewe?.........

Kwanza umedandia hoja alafu eti mbwembwe ......

Naona jinsi unavyokurupuka nakwangalia......
Halafu hivi hio FNBE bank, ina operate wapi hio bank Tanzania?
 
We pia ni snitch kama umejua usinitch wangu.......

Unaonekana na wewe ni fisadi unatakiwa kushugulikiwa ........

Kama unaona tu kosa moja la kiuandishi ili ukosoe na kushindwa kujua kuwa unaweza kuwa na data ukiwa na typing error....

Pole sana uwa nakuona tu uwa unafatilia herufi kwenye mada zangu eti unakuja kukosoa herufi.....

Shame on you ujumbe kama umekufikia na au kama uyo fisadi ni ndugu yako pole.....

Lakini mafisadi mwaka huu hawana chao tupo Rada kweli tutawashugulikia kweli kweli.......

Endelea tu kuita watu snitch siku ukishugulikiwa usilalamike........
Hakuna typo hapo,hujui unachokiandika.Mi ni fisadi mlalahoi a.k.a Choka mbovu kama kuna wa kunishughulikia anakaribishwa.Next time tuliza Uno chini andika vitu vinavyoeleweka.
Habari yako hio hata mtu aki connect dots+ reading between the lines haina maana yoyote.
 
Halafu hivi hio FNBE bank, ina operate wapi hio bank Tanzania?
Sio lazima kila kitu uchangie fala wewe Fanya mambo yako ya msingi ukiona ufurahishwi pita kimya nenda mawazo hayawezi fanana ndio maana likaitwa jukwaa huru .......

Kila mtu anatakiwa kutoa mawazo yake na yaheshimiwe......

Uthaifu wako unaanzia kwenye kutopenda kusikia usichokipenda .......
 
Hakuna typo hapo,hujui unachokiandika.Mi ni fisadi mlalahoi a.k.a Choka mbovu kama kuna wa kunishughulikia anakaribishwa.Next time tuliza Uno chini andika vitu vinavyoeleweka.
Habari yako hio hata mtu aki connect dots+ reading between the lines haina maana yoyote.
Sawa kama haina maana unaangaika nayo ya nini si uachane nayo alafu toka lini mlala hoi akashinda jamii forum unajua maana ya mlala hoi?.....

Mlala hoi jifunze pia kusikia usichokipenda na kukosoa kwa sitaha ...

Sio kuita mtu usiyemjua eti snitch..... You bitch....
 
Back
Top Bottom