Kajichanganya CCM kivipi? Manake ninavyofahamu huyu jamaa kafanya kazi sekta binafsi kw muda mrefu tu... na kama ulivyosema; yupo vizuri sana! Baada ya NBC kuchukuliwa na ABSA kama sikosei, ndipo figisu figisu zikaanza! Huku na kule, jamaa yakamkuta yaliyomkuta.! JK akaona potential ya jamaa kama alivyoziona potential za wengine! Na hapa niseme jambo... back then nilikutana na government insider mmoja... anyway, alikuja kwa eneo langu nikiwa simfahamu! Baada ya kuwa impressed na huduma za pale, ndipo alipoanza kujikunjua na kunieleza kwa kirefu serikali ilivyoamua ku-import corporate culture from private to public sector kwa kuajiri brilliant executives kutoka sekta binafsi! Hapa ndipo walipochukuliwa watu kama akina Mafuru, Omari Issa na wengine kadhaa.Acha kuongea ujinga. Jamaa yupo vzr sn UPSTAIRS. Ni bahati mbaya sn kajuchanganya ccm inatakiwa mtu km yule aishi na mawazo huru sio kumtumikia mkurupukaji. Ni hazina kubwa kwa taifa akikaa nje ya mfumo mchafu wa ccm