mpasuajipu99
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 678
- 119
Safi uteuzi mzuri anayenung'unika asubiri na yeye zamu yake
Bora Hata ningetumwa nahao wafanyabiashara ningepata Hata Pesa...!!Umetumwa na wanasiasa na wafanyabiashara mkuu...
Umetumwa na wanasiasa na wafanyabiashara mkuu...
January ni mchakachuaji mkuu wa chama pia mtaalam wa fitna na kamati za Ufundi wa CCM,bila January leo hii mkulu asingekuwa ikulu ni vigumu kumwondoa tena sana sana January anaweza kupewa wizara yenye Ulaji, na mwakyembe ni rafiki mkubwa wa magu tokea zamani ni vigumu amtumbue hata akijisaidia ofisini hawezi kumtumbua.Kabudi mwanasheria wa kanisa la Anglican kwa askofu mokiwa na mshauri Mkuu wa sheria wa bwana yule.
Nadhani mwakyembe atapisha njia pale wizara ya sheria NA muda si mrefu mabadiliko ya Baraza la mawaziri yanakuja.
Kwa kuwa bwana yule pia watu wa madini na nishati wanamtikisa,anaweza pia kumuweka kabudi.
Pia anaweza kumwacha kabudi achuane na tundu lissu japo navyojua kabudi atataka uwaziri kwa kuwa huwa hakubali nafasi za chini.
Kabudi pia anaweza kuwekwa ofisi ya makamu wa rais mazingira na kumuondoa January makamba,ambae nadhani hayuko comfortable sana NA hii awamu,kabudi ni mtaalamu wa environmental laws na kwa kuwa masuala ya muungano ni ya kisheria zaidi NA kabudi ni mwanasheria
Nahisi nape atampisha bulembo
Baada ya kuona katoto kanachepuka sana kule Bungeni Dodoma ndipo wamebuni mbinu ya kumpeleka baba amlee binti yake mpaka aoelewe na CCM wenzake asije kutumbukia kwa Wapinzani.Mh.kila siku unasisitiza usawa kwa Wote Lakini naona nitofauti na unachomanisha.
Leo hii familia moja inawabunge wawili tena Baba na Mwana bora Hata ingekuwa shemeji.
Watanzania tulikuwa tunapinga kitendo cha Chadema kupeana vyeo hivyo Hasa familia yangu Ndesamburo Kuwa Baba, Mama na mtoto Kuwa wabunge au Tundu Lissu na Dada yake Kuwa wabunge au Dr. Slaa na mke wake Kuwa wabunge.
Kwahiyo bungeni patakuwa familia ya bulembo.
Mh. Raisi Kama nafasi zilikuwa zimebaki ungeangalia Hata mtoto wa maskini aliyemaliza chuo kikuu Hata Kama ni kada WA chama chako, utakuwa umesaidia kuondoa umasikini katika familia ile.
Mh. Tafakari Sana katika hili umetuangusha Watanzania,kama ulikuwa na nia Ya kumpa kazi Mara mia Hata ungemteua ubalozi au ukurugenzi Lakini si kwa kitu ulichofanya Leo kwenye Watanzania milioni 50 umekosa kabisa....!!
Fasheni mpya ni kila RPC ,OCD kuchukua Ujiko kusaka vyeo kwa kupitia chadema,wanajua kuwa wakiwapiga mabomu chadema mkulu atawapa vyeo sana,hivyo wanachama wa chadema kuweni makini na polisi kwani chadema imekuwa njia ya know jipatia sifa na vyeo.Rais anatakiwa aombewe tu,wananchi kazi yenu ni kumwombea rais tu zaidi ya hapo ni uchochezi.
Mbowe vs Joyce Mukya vs Lucy OwenyaBulembo na Binti yake wote wamekua Wabunge hahahhahahaa CCM ni ile ile oooghh ni ile ile
Kwani hawezi kuipitia huko aliko na kuishauri serikali? Ila mpaka awe Waziri?Ningetamani kama Prof. Kabudi angekuwa waziri wa Nishati na Madini apitie upya mikataba yote ya nishati...
mkuuMpaka maghufuli amalize siasa zake 2020 UDSM itakua imepukutika yaani wanachukuliwa majembe yanaachwa vuvuzela akina Bunsen burner sorry Benson Bana.
Jipu limeiva, soon atatumbuliwa mtu!!
Faru john vs ...
mkuuNaiwaza KATIBA ya mzee Warioba tu hapa!