Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 24,124
- 71,733
Kweli nmeamin Kasimu Majaliwa akisema amesema !!.
Pole mkurugenzi, kwani pesa za wananchi ulizipeleka wapi?? Kwa awamu hiii usipozirudisha butimba itakuhusu.Habari wanaJF,
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Selemani Jafo ametangaza kuwa Rais Dkt John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa halmashauri ya Butiama mkoani Mara Solomoni Ngiliule kuanzia leo kutokana na ubadhirifu wa fedha za umma.
mashushushu yanafanya kazi hasa.Unafanya kazi na mtu usiyemfahamu ni nani ukifikiri ni mwenzako mnakula dili mara paaap unapoteza kaziHabari wanaJF,
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Selemani Jafo ametangaza kuwa Rais Dkt John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa halmashauri ya Butiama mkoani Mara Solomoni Ngiliule kuanzia leo kutokana na ubadhirifu wa fedha za umma.
Hawa si ndo walifanyiwa vetting ya nguvu na wakaonekana wanafaa?
Unafurahia nini? Huoni huu ni mwendelezo tu wa serkali ya ccm kuonea kudhalilisha na kuwatesa wanyonge? Ufisadi mkubwa uko serkali umefanywa na wale mnaowaita wakubwa, je kuna hatua zipi zilifanyika, we hujafuraishwa na hatua hii, we ni sehemu ya uozo, unafurahi kinafki na lengo la lako ni kutaka kuonyesha eti mkuu wenu yuko makini azidi kuaminiwà ili mwendeleze uozo wenuSafi sana, taratibu tu watanyooka
Sema umemchoka, usitusemee, wengine tunataka adumu, mpaka mseme poo!Magu jitengue mwenyewe, umebadhirifu mabilioni ( Madege, kuhonga wapinzani, kuhonga wakamata ndege, chaguzi uchwara ).
- Tumekuchokaaaaaa
Mwambie awe anatumia KY. Ashakuharibu akiliSema umemchoka, usitusemee, wengine tunataka adumu, mpaka mseme poo!
Fedha za umma.. sawaHabari wanaJF,
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Selemani Jafo ametangaza kuwa Rais Dkt John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa halmashauri ya Butiama mkoani Mara Solomoni Ngiliule kuanzia leo kutokana na ubadhirifu wa fedha za umma.
ATEUNGA = ATENGUA mm napita tu naenda kumuona mzee wangu ngomba kidogoHabari wanaJF,
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Selemani Jafo ametangaza kuwa Rais Dkt John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa halmashauri ya Butiama mkoani Mara Solomoni Ngiliule kuanzia leo kutokana na ubadhirifu wa fedha za umma.
Nakupongeza baada ya Kuikacha Chadema Umebabadilisha ID na Una Support Harakati za Chama kilicho Madarakani.Pole yake pia iwe fundisho kwa wenzie kua waadilifu na waaminifu wanapopewa dhamana.
Mleta mada ninashindwa kukuelewa alietengua ni rais magufuri au waziri jafoHabari wanaJF,
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Selemani Jafo ametangaza kuwa Rais Dkt John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa halmashauri ya Butiama mkoani Mara Solomoni Ngiliule kuanzia leo kutokana na ubadhirifu wa fedha za umma.
Ivi wewe una ubongo kichwani?Nakupongeza baada ya Kuikacha Chadema Umebabadilisha ID na Una Support Harakati za Chama kilicho Madarakani.