Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anne Kilango Malecela

Hii swala uki angalia Kwa undani Una pata kuwa hakika jamaa kadhamilia,kapumzisha Kazi usingizi wa aliye kuwa waziri mkuu mstaafu!moja ya watu walio pigania sana ccm iludi madaraka I katika uchaguzi 2015 Ni mzee John Marecela!mama nenda kapumzike Na Mzee mwenzio pale sea view!
 
hivi mzee malecela hana mtoto mkubwa zaidi ya huyu? na kama ndie uyu amekula hasara
Alikuwa nae Marehemu Ipyana(R.I.P) kilikuwa kichwa sana wengi walitegemea angemrithi Mzee Malecela kwenye ulingo wa siasa lakini alifariki ghafla akijiandaa kwenda kwenye uchaguzi wa umoja wa vijana,alafu yupo mmoja wa kike Seche uwa DR.
 
WATUMISHI HEWA WAMPONZA KILANGO: Rais John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anne Kilango Malecela na Katibu Tawala wa mkoa huo kwa kutoa taarifa za uongo kuwa mkoa huo hauna watumishi hewa baada ya tume nyingine kuchunguza na kubaini uwepo wa watumishi hewa 45. (source Mwananchi)
Bado wewe na kundi lenu maana mnaeleweka
 
Nani mwingine aliwahi kushika madaraka ya mkuu wa mkoa kwa siku chache zaidi?
 
Nilichogundua Magu anaangalia sura zaidi juu ya nani awajibishwe hata kama makosa yao yanashabihiana.

Ile issue ya Prof Sospeter kumtonya yule mama wa bandari haitofautiani sana na hii maanake

BTW:Hii itachangia watumishi kuwa wakweli na kutokujishebedua kwa mkuu ili waonekane maeneo yao yako vizuri.

SWALI:Yeye akitupotosha kama alivyowahi kufanya hapo awali atakuwa tayari kuachia ofisi?

Maanake ana historia ya kuitia serikali hasara kutokana na maamuzi yake akiwa waziri wa uvuvi na pia miundombinu.
Time will tell
 
Back
Top Bottom