Rais Magufuli apigilia msumari jeneza la wauza Dawa za Kulevya, asema si kazi ya Makonda pekee

Safiiiiii safiiiiii... nakufa kwa furaha huku

Salute you Mr. President wa moyo wangu, i feel energized & bursted with joy, nilikuwa nasubiria sana kauli ya Mkuu wa nchi yangu.!

Ukitaka uzime kabisa moto wa drugs dealers mwagia petrol.. hahaaaaaaaaa.. eti Brand.. brand? ya drugs..? et Busara, busara kwa drug dealers..? damn..!!

Wow.. the best ever President JPM..

He is real, kiongozi halisi wa nchi yetu toka moyoni..!!

Nchi hii ilishachezewa sana sana, sasa inatosha, na huyu ndio JPM i used to know, unwavering, unshakable akijua ukweli, with classy, with style, with determination.. a great great leader..!! Na Mungu akubariki daima na milele yote..!!

N.B: Mh. RC Makonda goo, goo ahead..!!

CC: [HASHTAG]#NapeMosesNnauye[/HASHTAG]

Message

Sent delivered read understood & complied

Na kwaheriiiiiiiii...!!

Thats my president!!!
 
Rais Magufuli ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuwakamata wanaohusika na Dawa za Kulevya. Asema si kazi ya Makonda pekee.

Rais Magufulia amesema hakuna wa kuachwa hata akiwa mkewe Mama Janet Magufuli, na kuongeza kuwa wakamatwe bila ya kujali majina yao.

Rais Magufuli amesema anamuomba Jaji Mkuu asizicheleweshe kesi za madawa ya kulevya kwani kuna mtuhumiwa mkubwa wa Dawa za Kulevya anashikiliwa Lindi bila ya kufikishwa Mahakamani.

Najua IGP Mangu watu walikupigia simu wanakupa ushauri kuhusu Dawa za Kulevya, ungewasikiliza leo usingekuwa IGP.

Vita ya dawa za kulevya haina cha umaarufu, haijalishi ni mtoto wa nani anahusika, hata kama ni mke wangu mkamateni.
Mwisho wa siku iwe kama Duterte alivyowafanya. Ukipimwa na kukutwa ni mtumiaji unapigwa risasi tu. Ndo habari iliyobakia
 
Hii vita dhidi ya MADAWA ya kulevya aliyoianzisha Mh. Makonda pamoja na mapungufu yote lakini mh. Amethubutu, angalia amechukua hatua hata kama itakuwa na vikwazo.
Vita hii ni kubwa mno na ya hatari mno.

RAI YANGU: Mh huyu aongezewe Ulinzi zaidi, nyumbani, ofisini na hata katika matembezi yake.

Hawa drugs dealer sio watu wazuri hata kidogo, na bahati nzuri janja yao imejulikana.

#Support_Makonda_mapambano_madawa_yakulevya
 
Okay Mkuu,unayoyasema inaweza kuwa kweli au si kweli.Lakini hayo ya nyuma yasitufanye tuache kupambana na janga hili.Mfano wewe ulioa make,mkakosana na kutalikiana,kwa hiyo hautaoa tena kwa sababu ulikwazwa mwanzoni au utabaki hivyo milele.Jibu nahisi utasema ni lazima uoe,ni sawa na vita hii,hayo iliyoyasema haitafanya serikali ifumbie macho suala hili kwa kurejea nyuma uliyoyasema kwanini hayakushughulikiwa,tafakari na chukua hatua.Natoa mtizamo wangu usije ukasema mimi ni Lumumba resident au Ufipa resident,bali wanaoathirika na dawa ni wote wenye itikadi tofauti.Nyoka akiingia mtaani utasema acha awaume wezi wa magari au nawe utashiriki kumuua?Usiposhiriki atagonga yeyote,tena wewe uliye na fikra hasi,atakuuma sehemu tata kabisa. .Acha maneno,weka vitendo kwa uharibufu wa vijana/ndugu/rafiki/wazazi/wototo na jamaa zetu.

Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app

Ndugu siipingi operation na ningekuwa na uwezo ningeshanyonga wengi kabisa.

Napingana na

1. Poor strategies na approach iliyotumika....hii sio vita ya wauza mandazi...wako well organised, strong both finacially & technically

2. Tangazo la awali ilikuwa either lianzie kwa mnikulu au waziri wa ulinzi nk sio kupitia mkuu wa mkowa....hiii ni vita kamili uone Trump anavohaha.....note a joke.

3. kwa nini utangaze nakuwajanjarusha....technically ilikuwa kutuma vijana kimyakimya kila mkoa wanazowa kwa siri mateja....kuwa-interview na kimya kimya kuwakamata wauzaji na mihadarati maeneo ya kazi......tia ndani mateso......wanataja mabosi hivohivo kama na ushahidi...kesi siku nne....shaba.

Cha ajabu mkuu wa mkoa anapiga mayowe hadharani.....very poor

Lakini imeandikwa aliyeshindwa katika dogo kubwa analiwezaje?

ni hayo mkuu
 
Nape anashambuliwa bure tu hapa.Yeye hakupingana na hatua ya kupambana na wanaojihusisha na biashara ya madawa ya kulevya.Anaunga mkono juhudi zote zenye tija katika kushuhulikia tatizo hili.Anachosisitiza ni matumizi ya busara ili kutokiuka sheria wala kutowaharibia wasiohusika na biashara hii.

Hatua ya kuwataja watu kwa majina na kuyapublish kwa jamii wakitambulishwa kama watuhumiwa ni hatua isiyokuwa na busara.Watu wanaotajwa wana shughuli zao na wanatakiwa kuaminika na jamii ili shuhuli zao ziendelee kufanyika.Sasa unapotuhumu na kusema unawahoji watu kadhaa kwa uhusika wao wa madawa ya kulevya tayari umeshatengeneza attention fulani hivi na watu uliowataja hawataonekana the same kabla ya wewe mkuu wa mkoa kuwataja.Hapa umeharibu image yao na kama shuhuli zao zinategemea image yao unawezaje kusema kuwa hujawaribia shuhuli zao?

Ni kama vile una uhakika kuwa wote uliowataja wanahusika na hiyo biashara.Hujafikiria yule ambaye hausiki na hiyo biashara ni kwa kiasi gani unamuharibia.Kulikuwa kuna ugumu gani kuwachunguza kimyakimya na kuwahoji kimyakimya then ukishapata ushahidi uwapeleke mahakamani kama watanzania na watuhumiwa wengine?

Ni lazima kukubali kuwa bila investigation ya kina na yenye utulivu wa akili na yenye busara vita ya madawa ya kulevya itakuwa ni ngumu na kuna hofu watu wanataka kuitumia kugain personal popularity kwa matumizi ya kisiasa.

Haya mambo ya kuungana mkono kwenye mambo ya ovyo kwa hawa wawili hayajaanzia kwenye hili.Kuna mmoja alidhalilisha watumishi wa uma na kuwadhalilisha wengine kijinsia kwenye tv lakini bado muungaji mkono wake alipiga simu na kumuunga mkono
Hayo matumizi ya busara ni kwenye madawa ya kulevya tu au ni kila jambo!!?

Anyway, Waende kwa Wafilipino au Brazil wajifunze namna ya kudeal na mapapa!!
 
Ninachompendea Magufuli ni uwazi kwa kile anachokiamini hakuna kupepesa macho eti ataonekanaje akipingana hadharani na waziri wake! Haya ya kuoneana haya kuwajibishana kwa sababu ya majina fulani au umaarufu ndio yaliyotufikisha hapa na kuwafanya watu fulani wajione miungu watu yaani untouchable!

Aibu kwao watendaji ambao bado wanaamini kuna watu wakihusishwa na tuhuma au wakikosea wanahitaji special traetment as if wana uraia tofauti na wengine au wenyewe wana exemption mbele ya sheria kwa sababu ya majina yao!

Magufuli ni binadamu hivyo lazima kuna mapungufu tu lakini pamoja na mapungufu hayo yapo mengi anafanya vizuri ambayo wengi tulikuwa tunaona wamekoseakana wa kuyafanya na wakati mwingine ilifikia mda watu wakakosa matumaini kabisa. Magufuli ana dhamira njema hivyo tumuungeni mkono kwa juhudi zake na kizuri zaidi Magufuli sio kama wanasiasa wengine yeye anaishi katika kile anachokiamini na kama ni nyeusi atasema nyeusi na kama nyeupe anasema nyeupe. Magufuli endelea katika mazuri unayoyasimamia tupo nyuma yako!
Tatizo linatokea pale "atakapo ona nyeupe kuwa ni nyeusi". Ndio maana kuna haja ya kuhakikisha kwamba ukiona nyeusi iwe kweli nyeusi au sivyo yatakayo tokea unayajua.
 
tofautisha kuwa cynical an kuwa critical...haiwezekani mtu toka uzaliwe hujawai kuona mtu anatenda jema...lazima ujikague...wewe ndio tatizo

Linaweza kuwa zuri kwako ......kwa mwingine lisifae na akatoa hoja zake.

Lakini being monotonous is extremely cynical as kila mmoja wetu akubaliane na mawazo ya mtu mmoja.
 
Hatua ya kuwataja watu kwa majina na kuyapublish kwa jamii wakitambulishwa kama watuhumiwa ni hatua isiyokuwa na busara. Watu wanaotajwa wana shughuli zao na wanatakiwa kuaminika na jamii ili shuhuli zao ziendelee kufanyika.

Watanzania tumerogwa, hata hatuelewi tunataka nini. Nchi hii watu wenye shughuli zao na wanaoaminika kwa jamii wako wangapi? Tunapolia mapapa watajwe tukiamini kuna vigogo, watu maarufu, mawaziri, watoto na ndugu za Ma-Rais, hawa hawana shughuli zao? Wenye shughuli zao Wasanii tu? Tena wamehishimiwa sana, wajipeleke wenyewe Polisi wakahojiwe wakiwa wamejiandaa kama ni wanasheria au kuficha ushahidi, hakuna helicopter angani zikiwasindikiza kama wanavyofanya wenzetu Wa-Marekani wanapowakamata Ma super star.

Waende wakahojiwe wazikane tuhuma zao kama ni shughuli zao kuharibika zitaharibika tu ikijulikana wanahusika. Kama ni mtu mtakatifu zitaharibikaje?
 
Safiiiiii safiiiiii... nakufa kwa furaha huku

Salute you Mr. President wa moyo wangu, i feel energized & bursted with joy, nilikuwa nasubiria sana kauli ya Mkuu wa nchi yangu.!

Ukitaka uzime kabisa moto wa drugs dealers mwagia petrol.. hahaaaaaaaaa.. eti Brand.. brand? ya drugs..? et Busara, busara kwa drug dealers..? damn..!!

Wow.. the best ever President JPM..

He is real, kiongozi halisi wa nchi yetu toka moyoni..!!

Nchi hii ilishachezewa sana sana, sasa inatosha, na huyu ndio JPM i used to know, unwavering, unshakable akijua ukweli, with classy, with style, with determination.. a great great leader..!! Na Mungu akubariki daima na milele yote..!!

N.B: Mh. RC Makonda goo, goo ahead..!!

CC: [HASHTAG]#NapeMosesNnauye[/HASHTAG]

Message

Sent ✔ delivered✔ read✔ understood✔ & complied✔

Na kwaheriiiiiiiii...!!

SayNoToNgada
 
Hatua ya kuwataja watu kwa majina na kuyapublish kwa jamii wakitambulishwa kama watuhumiwa ni hatua isiyokuwa na busara. Watu wanaotajwa wana shughuli zao na wanatakiwa kuaminika na jamii ili shuhuli zao ziendelee kufanyika.

Watanzania tumerogwa, hata hatuelewi tunataka nini. Nchi hii watu wenye shughuli zao na wanaoaminika kwa jamii wako wangapi? Tunapolia mapapa watajwe tukiamini kuna vigogo, watu maarufu, mawaziri, watoto na ndugu za Ma-Rais, hawa hawana shughuli zao? Wenye shughuli zao Wasanii tu? Tena wamehishimiwa sana, wajipeleke wenyewe Polisi wakahojiwe wakiwa wamejiandaa kama ni wanasheria au kuficha ushahidi, hakuna helicopter angani zikiwasindikiza kama wanavyofanya wenzetu Wa-Marekani wanapowakamata Ma super star.

Waende wakahojiwe wazikane tuhuma zao kama ni shughuli zao kuharibika zitaharibika tu ikijulikana wanahusika. Kama ni mtu mtakatifu zitaharibikaje?
 
Hapana Mkuu hatuipingi hii vita tatizo tunaona huu ni kama usaniii fulani! mfano huwezi kuuangusha mwembe kwa kukata tawi moja maana yangu tukitaka kukomesha biashara hii tungeanza na manyangumi ambao makonda anawajua vizuri sabb ni marafiki na wafadhili wake hao waliokamatwa ni viuza bangi
Ukitaka kuangusha mti mkubwa anza na matawi.
 
Ndugu siipingi operation na ningekuwa na uwezo ningeshanyonga wengi kabisa.

Napingana na

1. Poor strategies na approach iliyotumika....hii sio vita ya wauza mandazi...wako well organised, strong both finacially & technically

2. Tangazo la awali ilikuwa either lianzie kwa mnikulu au waziri wa ulinzi nk sio kupitia mkuu wa mkowa....hiii ni vita kamili uone Trump anavohaha.....note a joke.

3. kwa nini utangaze nakuwajanjarusha....technically ilikuwa kutuma vijana kimyakimya kila mkoa wanazowa kwa siri mateja....kuwa-interview na kimya kimya kuwakamata wauzaji na mihadarati maeneo ya kazi......tia ndani mateso......wanataja mabosi hivohivo kama na ushahidi...kesi siku nne....shaba.

Cha ajabu mkuu wa mkoa anapiga mayowe hadharani.....very poor

Lakini imeandikwa aliyeshindwa katika dogo kubwa analiwezaje?

ni hayo mkuu
Okay,kumbe hupingi bali unaunga mkono,kwa hiyo tuunge mkono jambo lifanikiwe ingawa unalia na strategies.Kila penye nia pana mafanikio,lakini wahenga walisema yaliyopita si ndwele,tugange yajayo.Sawa ndugu???Mbele ya dola hata ukiwa financially na well organized technically hupenyi.
 
"Zilongwa mbali zitendwa mbali" kauli yake ningeiona yenye mashiko kama angeanza kuifanyia kazi ile orodha aliyoiacha JK ikulu
Kama huungi mkono jitihada zozote za kupambana na wauza unga/watumiaji then it means your part of them.

Sio lazima adili na history, anadili na current situation ktk mkoa wake kwa wanaotumia/wasambazaji/wabebaji/wasafirishaji then madon. Wewe kama ni mzalendo unatakiwa uunge juhudi.
 
1,"Hata awe mtoto wa nani akamatwe"- ni mtoto wa nani?
2,"Najua IGP umepigiwa cm bahati nzuri hukuwasikiliza ungewasikiliza ingekuta wewe sio IGP sasa"- waliopiga ni kina nani?
 
Back
Top Bottom