Hutembei unashia mkoani tu Au tndale huwez ona hayoSijaona bado matumizi ya dola kiasi kikubwa ndani yaTanzania kiasi cha kuleta shida, karibia au biashara zote tanzania wanatumia Tsh.. Hoteli zoote tanzania ukienda mtanzania una cash wanapokea Tsh, malls tanzania wanapokea Tsh, tatizo lipo kwa makampuni makubwa ambayo yanafanya biashara worldwide huwa yanalipa supplier kwa USD maana finance department zao hazipo hapa na zinalipa kutokea huko zilipo, kutokuwepo hapa kwa international companies na huku zina operations hapa isichukuliwe kama dhambi maana in international business kuna kucentralize mambo na hapo inategemea maamuzi ya wakuruguzenzi kulingana na operations zilivyo...
Mkuu elewa huyo mfanyabiashara akiweka bei kwa USD means bei ya hiyo bidhaa kwa hela ya madafu inakuwa inachange kila baada ya muda fulani Mara nyingi dhamani ya dollar huwa inapanda hii inamuumiza mlajishida wafanyabiashara hawakulazimishi ulipe usd.. bali ukifika wanakutajia bei kwa usd. kisha wanachukua calculator zao wanazidisha kwa rate ya tsh. kisha wanakuonesha ulipe kwa bei hiyo hapo.. sasa hapo ni kama umewalipa usd tu
Inaonekana hujui kitu katika monetary economics. Umeongea kinyume na lengo, hata hitimisho la narratives zako.Nchi yeyote inayoyumba kiuchumi hii ni njia ya mkakati wa kujinasua, Hii ikishindikana ni kutumia pesa ya Nchi nyingine huku mkiimalisha pesa yenu (underground). Nafikiri Pesa yetu imeshuka mno thamani na hii ni namna ya kiokoa. jana na juzi ilishuka shuka kwa namna.
Tuseme ukweli tu. msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Uchumi wetu umesinyaa na umekonda sana!!
Waanze na mashirika yao especially TANAPA badala ya kulipia kwa Dola iwe Shillings
Akiwa kwenye ziara katika Kiwanda cha sukari cha Kagera sugar, Rais Magufuli amepiga marufuku kufanya biashara kwa kutumia fedha za kigeni na kuiagiza benki kuu kuondoa utaratibu wa kufanya biashara kwa kutumia fedha za kigeni.
naoana ujuaji ukiwa sana hata kuongea point unakosa,vinchi vidogo vidogo ni vipi usha fika china ukaona unatamia pesa ya kigeni,au nchi kubwa,tutajieYaani Tizziii tunagelezea kwa vinnchi vidogo vidogo!!
Kweli ccm ni Kross briid ya ukimwi na ebola.
Yeye ni Rais wa watanzania wote.Akipata sifa ndiyo watanzania wamepata sifa.Hoja ya Zitto leo imezingatiwa ila ni lazima kuwe na sheria na si matamko tu.
Nakumbuka nili-comment siku ile kwenye ule uzi kuwa ipo siku Mkulu atafanyia kazi wazo hili la Zitto na wapinzani kwa ujumla ila sifa zitaende kwa mkulu tu.
Kwa hiyo nchi ifuate maamuzi ya hao wakurugenzi?Sijaona bado matumizi ya dola kiasi kikubwa ndani yaTanzania kiasi cha kuleta shida, karibia au biashara zote tanzania wanatumia Tsh.. Hoteli zoote tanzania ukienda mtanzania una cash wanapokea Tsh, malls tanzania wanapokea Tsh, tatizo lipo kwa makampuni makubwa ambayo yanafanya biashara worldwide huwa yanalipa supplier kwa USD maana finance department zao hazipo hapa na zinalipa kutokea huko zilipo, kutokuwepo hapa kwa international companies na huku zina operations hapa isichukuliwe kama dhambi maana in international business kuna kucentralize mambo na hapo inategemea maamuzi ya wakuruguzenzi kulingana na operations zilivyo...
Kwa Mara ya kwanza namuunga mkonyoTokea amekua rais leo ndio ameongea point ya msingi!!! hizi ndio kauli za rais sio kulalamika na kupiga mipasho...hapa namuunga mkono!