Rais Magufuli amuomba Mfalme wa Morocco amjengee Msikiti mkubwa Dar na Uwanja mkubwa Dodoma

Wenzao wazungu wanajenga shule na hospita hawa waarabu wanaleta misikiti na uwanja.dah

Usimlaumu mtoa msaada. Mlaumu mwombaji, kama mtoro akiomba samaki huwezi kumpa nyoka.

Magu kaona huyo ni mwislamu kaamua kuomba msikiti, na uwanja wa kareti. We unazaani angeomba nini sasa??.

Ilihali upeo wake umeishia hapo.
 
hata wajenge kiwanja kikubwa dunia nzima hali tete mtaani jamani nawaza hata jero nakosa wapi nitaipata daaaaaaaaaah?
 
Mkuu hyo ni moja unajua mangapi yamezingumzwa kwenye mkutano wao ,kwahy huyo mfalme kaja kwasabb ya uwanja tu,sidhani

Halafu kingine serikali inahakia Dodoma ,mji wa Dodoma hauna uwanja mzr wenye kukidhi vigezo ,acheni bwana capital city kuwe na uwanja wa kuvutia pia ni moja ya maendeleo itakayokuwa nayo Dom ,

Kipa umbele hivi sasa ni ujenzi wa viwanda kuongeza ajila, masuala ya viwanja ni secondary, mataifa kama Merikani,China, India, Korea ya kusini na Japan wako mbali kimaendelea kutokana na kujali ujenzi wa viwanda sio viwanja vya mpira - infact Mataifa tajwa wala hawapo kwenye kumi bora katika masuala ya mpira , je, hilo limewapunguzia nini?
 
MKuu mimi binafsi nilishajitambua, muhimu ni kuwa na positive attitudes towards our national development sasa watu kama huyo kazi yao ni kukosoa tu kila kitu, mbaya zaidi muulize solution ya malalamiko yake ni nini..utaona mbio mbio mpaka ufipa kuita kikosi kazi...maendeleo hayana chama bhana
Yana chama acha uwongo tena kwa awamu hii
 
Hivi msikiti hata kanisa vina msaada mpaka viingizwe ndani ya serikali?......

Kwahiyo wagonjwa wanaokosa dawa hospital wataponywa msikitini wapone magonjwa yao?..............


Yaani anafanya matukio ya kufanywa na shehe.............

Si ni bora tungeomba dawa na shehe akaalikwa akaomba huo msikiti?.........

Safari bado ni ndefu sana ........
 
kwani shida ya waislam ni mskiti? mbona watu wanapumbazwa sana kwanini tusijengewe hospitali na sis tupate ruzuku zinazoenda makanisani kupitia MoU tunajengewa liability baada ya Asset.Miskiti ipo na inatosha.hatuna hospitali kubwa hata moja kama kcmc na bugando nawalaumu sana masheikhe
 
Akili za waislamu ni kujenga misikiti tu badala ya shule na vyuo halafu baada ya hapo wanalalamikia mfumo Kristo.
Kwani lazima ukere watu? Kujenga shule na vyuo huku wasahishaji wakifelisha watoto wao ni sawa? Rejea factors za mtukufu waziri...
 
Anaanza lini kutujengea na anamaliza lini? Isije kuwa story tu. Lakini bora huyu maana walikuja kina Obama, Clinton, Bush hawajatusaidia chochote bora huyu kitu kitaonekana na hapo atssaidia mechi zote za mataifa zifanyikie Dom ili watz wote tuhudhurie
 
Back
Top Bottom