Rais Magufuli amteua Humphrey Polepole kuwa Mkuu wa Wilaya ya Musoma

Ya nini kujitoa ufahamu kiasi hicho kisa unatafuta ukuuu wa wilaya hahaaa.... Shame on vijana wa taifa hili kutumika kwenye siasa za ccm kisa kutafuta madaraka...
 
Lah! jamaa ali invest sana, na alipigania sana tatizo sijui kama ataridhika na hii nafasi. Cha msingi achape kazi kwa weledi.
Lakini inatoa picha mbaya sana kwa jamii kujipendekeza ili kuweza kufikiriwa kwenye teuzi, matokeo yake watu wanashindwa kutekeleza majukumu yao kutokana na kukosa sifa na vigezo.
sidhani kama mshikaji yupo hivyo nahis polepole anahitaji zaid na atajitahid ili asfikie nafas ile anayoihitaji
 
Naona imekuwa taaluma rasmi....
now tunashuhudia 'new graduates' tu kila mwaka
Julius Mtatiro, hujaelewa maana ya kufufua viwanda Huyu naye kaandika na kushauri serikali itoe kitabu cha MKAKUVI, tayari kaula Kinondoni

Vijana jitokezeni msione aibu, inalipa! Tahadhari tu usijemwambia mfalme kakaa vibaya
Jitoe fahamu masaa katika TV, mgazeti n.k. machache kwa ajili ya uzima wa tumbo wa miaka 5 au 10!
 
it was a sacrifice. yaani pata potea. turufu imeangukia kwake otherwise ingekuwa shida!
 
Kijana mpenda mabadiriko polepole amepewa jukumu la kuwaongoza watu wa msoma kwa nafasi ya ukuu wa wilaya hiyo,hongera kijana kawatumikie wanamsoma na watanzania kwa ujumla.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Nguruvi3
Platinum Member

Hii ndiyo Tanzania, ukiupepeta vizuri unaula

Tuliona jitihada zake za kusema hata yale nafsi yake inayakataa, hakujali nafsi kwasababu inalishwa na tumbo

Hata hivyo hii ni fursa nzuri kwa Watanzania kupata pumziko la ubabaishaji , upotoshaji, uongo na unafiki ingawa pia imetuachia jeraha.

Huyu sasa ni role model kwa vijana, kwamba ili ufanikiwe sema lolote hata kama lina madhara, sema tu!

Kazi njema , haikuwa rahisi lakini umefanikiwa!

polepole ni miongoni mwa vijana wanao jielewa nchi hii, wakati wa bunge la katiba hakuwaonea haya CCM kuwaambia ukweli, pia wakati wa uchaguzi mkuu baada ya UKAWA kuwafanyia watanzania vile vituko vya karne, polepole hakujiumauma aliwapa ukweli ulio mchungu. tatizo kuna watu fulani wafuasi wa chama fulani ukitofautiana nao tu, basi wewe ni msaliti na mchumia tumbo, kwakweli hiki kizazi cha hawa watu wasio jielewa kinasikitisha. watu gani kila kitu ni ndio ndio hata pale viongozi wenu wanapo boronga? aibu ilioje hii
 
Ya nini kujitoa ufahamu kiasi hicho kisa unatafuta ukuuu wa wilaya hahaaa.... Shame on vijana wa taifa hili kutumika kwenye siasa za ccm kisa kutafuta madaraka...
nnaona unahis ukawa ndio wapo sahihi sana alijitahid kuleta mabadiliko ambayo tanzania tunayahitaji na sio sarakasi usitake turudi katika mabishano ya siasa maana usifikiri wote tunaippenda ukawa kama wewe na wenzako wengine
 
jamani tujadili uwezo wake, naona watu kama wanatoa majungu vile, ivi si ndio yule aliyekuwa anapigania katiba ya mzee warioba?
 
Back
Top Bottom