Rais Magufuli amteua Bi. Salma Kikwete kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tanzania eeehhhhhh............nchi yangu ooohhhh….......
..........tenda wanapeana kindugu mwanangu kua uyaone!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
ACHA UNAFIKI,NI WANGAPI WAME
Sasa Hillary aliiachaje marekani kimaendeleo na salama kaiachaje??? nani ana moral authority hapo??

Kabla ya kujiuliza Hillary Clinton aliiacha wapi Marekani ulipaswa ujiulize kwani Kwani Hillary Clinton aliikuta wapi?

Usipolijua hilo hutaweza kuelewa tofauti ya mafanikio ya kiongozi wa Marekani ukilinganisha na wa Tanzania.
 
Nabii Suleiman hakuomba utajiri, ila aliomba BUSARA na HEKIMA, ingawa katiba haikatazi lakini hekima katika uteuzi huu iko wapi?
Wewe kama mtu amewahi kutamka kwa kinywa chake mwenyewe ni jinsi gani anavyofurahia kuwa raisi na kutumia executive order anavyotaka kadri katiba inavyo mruhusu.

Usitegemee kuona busara ikitumika kwa mtu huyo.
 
Kwa niliyoyashuhudia mpaka sasa, siwezi kuja kumwamini mwana siasa yeyote. Yaani wote ni nyoka tu.
 
NAMBA TUMESHAISOMA ASANTE.KALE KA WIMBO.MWAKA HUU ...BADO HAPO HAMJASOMA ALAMA ZA NYAKATI .?
 
Hahhahhahaha nmekuuliza tu kwenye kusimamia uwajibikaji wa serikali kwa track record hillary utamlinganisha na mama salma??? Maana kinachompeleka bungeni ni kusimamia serikali sasa kma hata kutoa hotuba yenye hoja zenye mashiko kma mwenzie hillary huo ubunge ataweza wapi????
 
1488478652073.jpg
 
Huo ni uteuzi usio na tija kuwahi kutokea nchini.hii inaonesha ni kiasi gn nchi inaendeshwa kwa mawazo binafisi na c kikatiba.unapomteua salma kikwete kuwa mbunge maana yake nn!! Kwnza yy ni mke wa rais mstaafu na pili ana taasisi binafsi zinzompatia mahitaji.kuna watu ndani ya ccm wanapiga kwata kykitangaza chama mpk Leo ht udiwani hawana.halafu Leo unamteua salma kikwete awe mbunge ili akaongee nn bungeni!! Nini anachojua ndani ya nchi hii km sio upendeleo ni kitu gn. Salma kikwete kuwa mbunge ni upendeleo wa hali ya juu wala hakustahili.
 
Back
Top Bottom