mtaalamu123
Senior Member
- Oct 15, 2015
- 185
- 203
Unadhani ni rahisi kutoa kashfa kama ile mbele ya kadamnasi bila kujiridhisha na unachokiongea, nakuhakikishia katika hili RC makonda kaongeza credibility sana tu, yote aliyosema yako very realistic!
Ccm hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeka ka mutaparurana leo viroba amevileta nani kama sio serikali ya waliokosa maono ya ccm Magufuli he must learn how to exercise his power sio anaagizwa na juniours na yeye anakubali its very wrong
Good, uko makini.Umekurupuka.
Makonda aliunda tume iliochunguza mamabo hayo
Tume ilikuja na ripoti yake akapeleka ngazi za juu.
Kinchofanyika ni utaratibu jamaa amekwisha
Kosa la Makonda silioni hapo kama yote aliyosema ni kweli. Watu waliopewa dhamana walijisahau walidhani ni mali yao. Wanakwiba mchana kweupeeeeeee!!!!!!Baada ya Makonda kumchongea kwa Rais jamaa kamaliza kazi live
Lakini nadhani mantiki ingekuwa na yeye kabwe angesimama kama makonda kuongea kamsimamisha kazi bila hata kumsikiliza
Unaongea vitu gan.Huyu mheshimiwa alitoa tuhuma nzito na kuziomba mamlaka teuzi zifanye kazi. Katika hali yoyote Mr Kabwe atachunguza. Kama hatapatikana na hatia (exonerated) ina maana atarudishwa kazini aidha hapo alipokuwepo au popote.
Kwa maana hiyo Makonda atapoteza credibility. Swali la kujiuliza, mh Makonda ana uhakika kiasi gani kwa alichoongea na kukiomba? Kama mheshimiwa atasafishwa,
Je itakuwa zamu yake kuondoka kwa kumdanganya Mh Rais.
Yani nyie Bawacha mmekuwa kama wake wenza nyie ni kulalamika tuu!Anawaonea wadogo, mbona ya Kitwanga na kumuandika kote hajamtumbua. Huyu amesikia ya makonda, to be fair angelisikiliza na ya PAC etc
Hebu weka ushahidi wa ufisadi wa Lugumi!1.Mkurugenzi Muhimbili
2.Kamishna wa uhamiaji
3.CEO DART
4.CEO RAHCO
5.Mkurugenzi wa Jiji
6.Katibu Mkuu kiongozi
7.Mkuu wa mkoa wa Shinyanga
Hawa wote kawasimamisha wengine tena vyanzo vya habari zao zimeanzia magazetini au mfano huu kutoka kwa Makonda,lakini sakata la Lugumi haligusi najiuliza sana why????????
Hivi Bawacha mtaacha lini kulalamika? Basi itisheni mkutano wa waandishi wa habari mpinge kutumbuliwa kwa Kabwe....Makonda misifa utadhani ni malaika mkuu.
Tumbua tuuuuNimfanyaje huyuuuu? Atumbuliweeeeeee
Kwani la escrow halijaiva? If so, linasubiri nini?I love Magufuli's leadership style...hakika, huyu ni mzee wa maamuzi magumu...jipu haliachwi kuiva