Rais kuwaomba mabeberu pesa za mradi wa maji.Je Rais kabadili gia angani?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,044
49,727
Inajulikana msimamo wa Rais wetu mpendwa ni kujitegemea kuacha kuwategemea wahisani al maarufu mabeberu.

Leo katika hali ya kushangaza Mheshimiwa Rais wakati anahutubia wanarukwa uwanja wa Mandela,amenukuliwa akiwaomba wahisani waliofadhili mradi wa maji ili watoe pesa za kusambaza maji

Akasisitiza kabisa kwamba waziri wa mambo ya nje aandike barua rasmi kwenda kwa umoja wa ulaya/Ujerumani

Kwa jinsi tunavyomfahamu mkuu wetu,hili la kuwaomba msaada wahisani/mabeberu ni jipya.

Je, mkuu amebadili gia ya msimamo angani?
 
Mwenyewe nilimsikia nikadhani kwamba labda nimesikia vibaya

Maana huyu jamaa kwenye hotuba yake ya juzi tu alikuwa akitukana sana akidai hawana msaada wowote na ni maadui wa Afrika Kabudi nae akajigamba kuwa awamu hii mwisho wa kujiabisha kwa kutembeza bakuli

Kikwete anatukanwa sana na Magufuli kirejareja basi sema ni mvumilivu

leo tena anawaomba mbele ya camera, duh
 
Mwwnyewe nilimsikia nikadhani kwamba labda nimesikia vibaya

Hii nchi bado ni poorer sana sasa sijui kwa nini juhudi za kujinasua huko kwenye utegemezi ziambatane na kejeli na matusi kwa wahisani.Aliyetangulia katangulia tuu
 
Anawatukana kwa kiswahili akijua hawajui, hivyo kumwagiza kabudi awaandikie barua kwa kiingereza na kijerumani. huenda kwenye hizo barua atamwagiza kabudi awaambie kuwa anawasifia sana kwa kiswahili kiasi kwamba wangekua wanaelewa kiswahili wangempa utajiri wa ulaya wote.
 
Wewe ni mwehu, Rais ameshauri kwamba kuna fedha imebakia katika MoU, Hivyo wakumbushe. Tayari Wewe umesharukia kwenye kujitegemea. Uliwahi kuona wapi Taifa lisilokopa, lisilopata misaada toka nje? Wewe ni lofa wa akili.
 
Wewe ni mwehu, Rais ameshauri kwamba kuna fedha imebakia katika MoU, Hivyo wakumbushe. Tayari Wewe umesharukia kwenye kujitegemea. Uliwahi kuona wapi Taifa lisilokopa, lisilopata misaada toka nje? Wewe ni lofa wa akili
Wapi nimejadili mkopo au wapi kwenye hotuba ya rais kazungumzia mkopo? Mwehu ni wewe mimi ni mjumbe nafikisha ujumbe kwa nini unishambulie wakati kasema mwenyewe?
 
Mwwnyewe nilimsikia nikadhani kwamba labda nimesikia vibaya

Maana huyu jamaa kwenye hotuba yake ya juzi tu alikuwa akitukana sana akidai hawana msaada wowote na ni maadui wa Afrika Kabudi nae akajigamba kuwa awamu hii mwisho wa kujiabisha kwa kutembeza bakuli

Kikwete anatukanwa sana na Magufuli kirejareja basi sema ni mvumilivu

leo tena anawaomba mbele ya camera, duh
Kikwete yupo vizuri kichwani,,,,,
 
Back
Top Bottom