ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,787
- 50,564
Inajulikana msimamo wa Rais wetu mpendwa ni kujitegemea kuacha kuwategemea wahisani al maarufu mabeberu.
Leo katika hali ya kushangaza Mheshimiwa Rais wakati anahutubia wanarukwa uwanja wa Mandela,amenukuliwa akiwaomba wahisani waliofadhili mradi wa maji ili watoe pesa za kusambaza maji
Akasisitiza kabisa kwamba waziri wa mambo ya nje aandike barua rasmi kwenda kwa umoja wa ulaya/Ujerumani
Kwa jinsi tunavyomfahamu mkuu wetu,hili la kuwaomba msaada wahisani/mabeberu ni jipya.
Je, mkuu amebadili gia ya msimamo angani?