Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,798
- 12,240
Katika mkutano wa baraza kuu la Umoja wa Mataifa Tanzania iliwakilishwa na Membe kwa sababu JK alikuwa anaongoza vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri kuu ya CCM.
Alifanya hivi kwa kuwa hakuwa na la kufanya ama kuahirisha vikao vya chama chake au kuahirisha mkutano wa baraza kuu la Umoja wa Mataifa! Alikuwa amebanwa kweli kweli na hakuwa na jinsi! Hivyo kwa makusudi aliamua kubuni safari ya kwenda Marekani na Canada ili kuhakikisha hakosi posho yake ya safari aliyokuwa anaisubiria kwa muda mrefu!
Nadhani sasa roho yake kwatuuu!
MAISHA BORA KWA JK!