Nafikiri baada ya kuona thread hii jana amejitokeza ITV na kusema eti wkt polisi wanavunja yeye hakuwepo eneo la tukio hivyo atawasaidia waliovunjiwa, eti lengo lake ni kuwaendeleza wenyeji kwa kuwapa ngombe wa maziwa km kuwakopesha. Pia amesema kw eneo alinunua kwenye chama cha ushirika MORO na anadai baadhi ya wananchi zaidi ya 100 aliwalipa fidia, swali km eneo alilinua ktk chama cha ushirika kwa nini aliwalipa fidia wananchi wa kawaida? Me ninavyojua eneo analomiliki ni tofauti na hili lenye mgogoro na kesi ya msingi iko mahakamani.
Lengo lake limeshaonekana kwa vitendo, huwezi ukawa na nia ya kuwaendeleza watu wakati huohuo unabomoa nyumba zao.