Rais Kikwete kwenye Uzinduzi wa jengo la kitivo cha sayansi chuo kikuu cha kiislamu Morogoro

Ukweli ni kwamba hii project itbaki kuwa ''Proposed Project'' Kumbe amezindua picha na si chuo chenyewe?

Fungeni mkanda jitoleeni mnaweza kufanikisha azma yenu ndugu zanguni. ila kama mtakuwa mmezindua picha na mkaanza uswahili chuo hakitakamilika. kila la kheri na niwatakie kheri mfikie mafanikio.
 
Dhuruma ktk dawa zakulevya zimemtoa uhai zanzibar vp police mbona hamsemi mnaogopa kwa vle wakubwa watakasirika?
 
km kawa watazidi kujitenga mpaka bhaaaas,lakn hawataweza kufanikiwa kutawala nchi ye2 na kimataifa kiujumla b'se wanapenda kujitenga na kuchochea ghasia nchini af mwishowe wanashindwa,MUNGU IBARIKI AFRIKA MUNGU IBARIKI TANZANIA

kamwe dola ya kiislamu haiwezi shika DUNIA. Shule kwanza kujilipua baadaye!
 
Kwa wanaoifahamu MUM vizur tafadhali naombeni mnijulishe je wanaoffer masters in science? nimetamani kufanya masters yangu hapo, ili nijifunze mengi, kwanini watu wanakisema vibaya hicho chuo!
 
Aisee. Pitia staff profile ya Muslim University kwenye website yao, wote waislam. Jamaa ni wadini ajabu. Wanataka kutwambia hakuna watu wa dini nyingine wanaoapply kazi kwenye chuo chao?
mkuu check pia profile ya st augustine uone kama kuna muislam hata mmoja wamejaa mapadri tu na mashemasi hapo ndo utapata jibu
 
Hii ni instution ya elimu....nashangaa manguli mnatukanana kwa dini zenu badala ya kuzungumzia mambo ya elimu? Km wasomi mpo hivi sijui huko kina kayumba watakuwaje.....? Great thinkers.....think alike!
 
Waambie pia waache kushabikia maandamano ya akina Ponda na badala yake wasome,maandamano yao ni ujinga wa milele

hivi yale yanayopigiwa chepuo yafanyike march 25, ya nini vile, siyo suala kufeli? kwanini tusiahirishe na badala yake kupita mashuleni kuhimiza watoto kusoma kwa bidii?
 
Kwa wanaoifahamu MUM vizur tafadhali naombeni mnijulishe je wanaoffer masters in science? nimetamani kufanya masters yangu hapo, ili nijifunze mengi, kwanini watu wanakisema vibaya hicho chuo!

nijuavyo na jinsi ilivyo hata kama una gpa ya 4.5 with flying colours huwezi chaguliwa na hao jamaa wa vipedo.
vinginevyo uwe nawe ni mshirika wa kufuga ndevu ndefu mithili ya osama.
wapo radhi watafute hata form four failures wazibe nafasi kuliko kukupa wewe.
mifano hai ipo katika haya, ukihitaji tutakupatia ili ujue nafasi yako ktk chuo hicho kama utabahatika kuomba kujiunga na masomo yao.
lkn usikate tamaa yu mkini waweza kuwa ni asha,sudi,hamza,juma,mwantumu,nassoro,mrisho n.k basi waweza omba manake hapo haziangaliwi pass bali ni kanzu na vipedo.
kaaaazi kwelikweli.
wabaguzi lkn cha ajabu wanatumia majengo ya watanzania wote waliolipa kodi zao bila kujali dini wala kabila.
bora waite masjidi kuliko kuita chuo kikuu.
shame on them.
baadhi yao wamesoma lkn matendo yao sawa na wale jamaa waliowengi shuleless.
kweli ponda type till death!!!!!!!!
 
Kwa wanaoifahamu MUM vizur tafadhali naombeni mnijulishe je wanaoffer masters in science? nimetamani kufanya masters yangu hapo, ili nijifunze mengi, kwanini watu wanakisema vibaya hicho chuo!

Wakiristu nao, hawana jema ! Tabia mbaya zote zinawaongoza hawa jamaa.
1.Wana wivu (chuo kimoja tu kinawatowa roho)
2. Wana chuki
3. Dhulma imewajaa (refer MoU)
4. Choyo (wanazuia Waislaam kwa uonevu kuelimika)
5. Wabadhirifu
6. Wala rushwa
7. Wala nyamafu
8. Waongo
9. Walevi
10. Wazinzi !(Ati mtu mzima ana zaa na mchumba wake !)
11. Wafitina (sakata la uchinjaji)
12. Hawa shukran (wakifanikiwa huzisifu nafsi zao)
 
Back
Top Bottom