Rais Kikwete kukutana na wabunge wa CCM leo hii

Hujuwi kuwa matatizo ya madaktari uchwara yanashughulikiwa na kamati ya bunge? magwanda wakiwemo.

Kama ni kweli akimaliza kukutana na wabunge wa CCM basi atakutana na wa magwanda, hapo ndipo Kikwete anapojuwa kuwapatia, juisi na kashata kidogo, kusuta kote hakuna. Kama watoto wadogo vile.
Saa nyingine ukikosa la kusema ni busara kukaa kimya badala ya kutujazia bytes na upupu.
 
kuna tetesi kuwa rais kikwete atakutana na wabunge wa ccm leo hii kabla ya saa kumi na moja jioni.bado sijapata taarifa kwamba kikao hicho ni shinikizo la wabunge au la.najitahidi kutafuta info zaidi nikifanikiwa nitatoa updates.

Mimi nakubaliana na wazungu kutuita nyani..hatuna akili ndio maana kila sida tunalalamika maisha magumu ikifika uchaguzi tunachagua wale wale wanaofanya maisha yetu yawe magumu!!!!
akili zako changanya nazake!

Hujuwi kuwa matatizo ya madaktari uchwara yanashughulikiwa na kamati ya bunge? magwanda wakiwemo.

Kama ni kweli akimaliza kukutana na wabunge wa CCM basi atakutana na wa magwanda, hapo ndipo Kikwete anapojuwa kuwapatia, juisi na kashata kidogo, kusuta kote hakuna. Kama watoto wadogo vile.

aslaamu aleikum

hapo ndipo huwa natofautiana sana na wewe,msomi unaedharau elimu za wenzako,sikubaliani na wewe pale unapo waita madaktari wetu ni madaktari uchwara,tujitahidi kuheshimu fani za wenzetu kama wanavyo ziheshimu fani zetu
 
Hujuwi kuwa matatizo ya madaktari uchwara yanashughulikiwa na kamati ya bunge? magwanda wakiwemo.

Kama ni kweli akimaliza kukutana na wabunge wa CCM basi atakutana na wa magwanda, hapo ndipo Kikwete anapojuwa kuwapatia, juisi na kashata kidogo, kusuta kote hakuna. Kama watoto wadogo vile.
Mungu akusamehe wamenusuru maisha yako mara ngapi? leo uchwara We dada na umri wako busara imekupotea hapa ndipo napoanza kuwaza ulivyomchafu wa mwili kama hata fikra zako umeshindwa kuzisafisha.
 
Si mambo ya mabadiliko ya sheria ya mchakato wa katba mpya yaliyotokana na mikutano yake na vyama vya siasa,including chama chake?
 
kuna tetesi kuwa rais kikwete atakutana na wabunge wa ccm leo hii kabla ya saa kumi na moja jioni.bado sijapata taarifa kwamba kikao hicho ni shinikizo la wabunge au la.najitahidi kutafuta info zaidi nikifanikiwa nitatoa updates.

AKISHA KUTANA NAO ATAWADANGANYA NA KUWAPA AHADI KISHA ANATOKOMEA ZAKE USA......Akili zako changanya na zake?

Mimi nakubaliana na wazungu kutuita nyani..hatuna akili ndio maana kila sida tunalalamika maisha magumu ikifika uchaguzi tunachagua wale wale wanaofanya maisha yetu yawe magumu!!!!
akili zako changanya nazake!

We nyani pekeo.
 
TISS sasa mnaona matokeo ya kazi yenu ya kuiangamiza Tz!!!!!!!!!!!!!!??????????; maana bila ninyi zaidi ya robo tatu ya wabunge wa sisiemu wasingeona bunge; mliwaingiza kwa mlango wa uani, tangu hao wakuu wa bunge ndiyo maana mizozo ya kuvunja kanuni za bunge bungeni haitaisha. Kwa hiyo wana haki kuchachamalia maana ndiyo kitu ambacho kwao kinaingia akilini kwa urahisi. Hii ya aktiba sijui mtaitibu vipi?? Kazi kwenu ninyi TISS waangamizi wa taifa hili. Sisi yetu macho!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom