Rais kikwete huwa hawasiliani na timu yake?

kituro

Senior Member
Dec 25, 2010
176
15
mwanasheria mkuu wa serikari alikataa katiba mpya,
waziri wa sheria nae alikataa katiba mpya
yeye amesema ataunda tume ili kufanikisha suala hilo.
Je, huu ni usanii au nikweli alichokihutubia?.
 
Jamani mmemsahau jk mara hii kumbuka ka anawasiliana na wenzake basi dowans, richmond vyote yumo ka hawasiliani basi namtetea hayupo
 
Anaogopa kuwasiliana na watu waliomzidi elimu, ningekuwa JK ningeteua mawaziri na watendaji wote chini ya form 6 ili niweze kuwamudu.
 
Back
Top Bottom