Rais Kikwete, baba mbakaji na utata wa mtoto aliyezaliwa

Mkuu mbona ueleweki utaka kusema nini unachosema, mfano wako ni dhaifu sana.

Kuhusu Dk Slaa na mtazamo wako ni hadithi za Abunuasi na mke wake Elizabeti, eti angetangaza watu waingie barabarani saizi angekuwa Makamu wa Rais.

Mtazamo na muelekeo wako kisiasa na wasiwasi nao

Mkuu usichanganye ya Abunuwasi na Bulicheka.........:lol::lol::lol:
 
Oya unachekesha JF, hadithi za nini? Igunga imeshinda je mtaweza kushindani na CCM tanzania nzima? Kama CCM wezi,basi Igunga ilitakiwa mshinde coz waliweka mtu mwenye Kashifa kibao lakini bado aliwagalagaza.Watu makini ndani ya CCM wanaushawishi wa hoja na si maandamano. JK amewakejili tu,sahihi yake ameshapigia mstari mapema.Jana yalikuwa mazungumzo ya kawaida tu
 
Heshima sana Mikael P Aweda.

Habari njema sana lakini kuna kasoro moja nimekuwa nikiipigia kelele muda mrefu sijui kwanini CDM hawaifanyii kazi.Ukanda wa Pwani wakazi wake wengi ni waIslam CCM wamekuwa wakifanya propaganda muda mrefu kwamba CDM ni chama cha watu wa kaskazini na ni chama cha waKristo.Propaganda za aina hii zimekuwa zikifanywa na CCM kuanzia mfumo wa vyama vingi uliporuhusiwa kwania ya kuwagawa waTanzania.Mwanzoni CUF walibambikiwa dhambi hii kwamba ni chama cha waIslam ilikufifisha nguvu zake na sasa CCM wanatumia njia hiyo hiyo dhidi ya CDM.

Mkuu nilitegemea ziara za mikoa ya Pwani Prof Abdallar Safari angeongoza mashambulizi hili kumaliza sumu chafu ya udini unakumbatiwa na kutumiwa na CCM kwaminajili ya kuendelea kubaki madarakani.

Mheshimiwa sana Ngongo,
Mwaka huu Dr Slaa alikuwa Pwani, alianzia Kisarawe mjini mkoa wa Pwani na alizunguka huko kata kwa kata. Sikumbuki idadi ya kata alizokwenda na wilaya alizokwenda. Mwezi uliopita kulikuwa na uzinduzi wa ofisi mpya ya Chadema chalinze Pwani. Dr Slaa alikuwa awe Mgeni Rasmi, akawakilishwa na Erasto Tumbo. Huo si ndo ujezi wa chama pwani? Worry not my friend.
 
Hii kali.Lakini kimtazamo CDM wamefanya vizuri kujadili na huyo baba..............,kwa manufaa ya sasa na baadae.
 
Mkuu wangu MM.

Yaani unataka nisifu viongozi wanaowaambia watu wakeshe uwanja wa NMC kisa Lema kagomea dhamana ?.

Mkuu ukiniambia nikishe NMC kwaajili ya katiba mpya nitakuelewa.

Mkuu ukiniambia niandamane kwaajili ya kupinga ongezeko la posho za wabunge nitakuelewa.

Mkuu ukiniambia niandamane kwaajili ya kupinga malipo ya Dowans nitafanya hivyo bila kulazimishwa.

Mkuu ukiniambia niende mahakamani kwania ya kumsindikiza mbunge anayelipwa mamilioni ya kodi nitakataa hajalishi mbunge huyo anatoka chama gani kwangu mimi wabunge wote ni wezi na wanyonyaji lazima katiba mpya iweke kipengele cha kudhibiti posho za wabunge,mawaziri,mabalozi na nk.

Mkuu CDM si Mungu ndiyo maana sioni taabu kukikosoa umeniambia wewe ni kiongozi sawa ebu pita makao makuu uliza Ngongo amefanya nini kwa mbunge wa Arusha kuhusiana na sakata la General Tyre.Pamoja na kumsaidia hainizuii kumkosoa Lema ninapoona anakwenda ndivyo sivyo.

Ngongo swadakta,

Kuna mambo mengi sana ya kisiasa yanayofanyika ndani ya nchi hii kwa msukumo wa chadema na wananchi wanaliona hilo na kulikubali.
Siasa za Arusha zina mvuto wa aina yake, na mimi binafsi nimekuwa nikitembelea Arusha mara kwa mara kwahiyo ninafahamu fika joto la kisiasa lililoko arusha na kwa jinsi wananchi wa arusha wanavyoiunga mkono chadema wengi wanakereka na wewe ni mmoja wao. Umeandika hapa jf (ushahidi upo) kwamba arusha mmechoka maandamano ya chadema mnataka kupumzika. Kwanini huwaambii jeshi la polisi na ccm waache kumsumbua mbunge wa arusha mjini ili chadema waache kumlinda mbunge wao wao hadi wewe uone ni kero??

Usije ukajidanganya kwamba hao wananchi wanaokwenda mahakamani kusikiliza mwenendo wa kesi ya Lema hawajui wanachokifanya, wala hawamtegemei Lema ama wewe kwa ajili ya kuendesha maisha yao. Wanakwenda mahakamani, wanakwenda NMC lakini maisha yao yanaendelea bila usaidizi wa mtu yeyote, sasa sijui wewe nini kinakuuma.

Kumkosoa ama kumchukia kwako Lema kumesababisha ujaribu kurefusha vita yako dhidi ya chadema, na kama nilivyodokeza hapo awali, sisi tuko mstari wa mbele, tunapigana kwa ajili yenu, siku mafanikio yakipatikana tutawakaribisha mnywe, mle mfurahie uhuru na ukombozi wa kweli. Ingelikuwa ni heri kwako kama ungechagua sasa kuungana nasi, kuliko kubaki jukwaani kama mshabiki wa mpira ambaye kazi yake ni kupaza sauti kwa mchezaji mwenye mpira, huku akipaza sauti "piga mbeleeeeeee"
 
Huna hoja siku hizi mkuu, umejaribu hata kutumia multiple IDs kuishambulia chadema bila mafanikio.

Siku tukikamata uongozi tutakukaribisha chai, tunajua unatumika bila kujua!

sawa mods....unaona wengi wanaamka na wote unatetemeka ukijua waberoya!!! niko juu!
 
Mkuu MM,Hii ndiyo tofauti yangu na wewe huna mchango unaweza kuisaidia CDM.Labda kwako mchango ni kusifu kila kitu ebu rejea tena na tena bandiko langu unaweza kuokota kitu ahaaa aaa.

Ngongo swadakta,

Kuna mambo mengi sana ya kisiasa yanayofanyika ndani ya nchi hii kwa msukumo wa chadema na wananchi wanaliona hilo na kulikubali.
Siasa za Arusha zina mvuto wa aina yake, na mimi binafsi nimekuwa nikitembelea Arusha mara kwa mara kwahiyo ninafahamu fika joto la kisiasa lililoko arusha na kwa jinsi wananchi wa arusha wanavyoiunga mkono chadema wengi wanakereka na wewe ni mmoja wao. Umeandika hapa jf (ushahidi upo) kwamba arusha mmechoka maandamano ya chadema mnataka kupumzika. Kwanini huwaambii jeshi la polisi na ccm waache kumsumbua mbunge wa arusha mjini ili chadema waache kumlinda mbunge wao wao hadi wewe uone ni kero??

Usije ukajidanganya kwamba hao wananchi wanaokwenda mahakamani kusikiliza mwenendo wa kesi ya Lema hawajui wanachokifanya, wala hawamtegemei Lema ama wewe kwa ajili ya kuendesha maisha yao. Wanakwenda mahakamani, wanakwenda NMC lakini maisha yao yanaendelea bila usaidizi wa mtu yeyote, sasa sijui wewe nini kinakuuma.

Kumkosoa ama kumchukia kwako Lema kumesababisha ujaribu kurefusha vita yako dhidi ya chadema, na kama nilivyodokeza hapo awali, sisi tuko mstari wa mbele, tunapigana kwa ajili yenu, siku mafanikio yakipatikana tutawakaribisha mnywe, mle mfurahie uhuru na ukombozi wa kweli. Ingelikuwa ni heri kwako kama ungechagua sasa kuungana nasi, kuliko kubaki jukwaani kama mshabiki wa mpira ambaye kazi yake ni kupaza sauti kwa mchezaji mwenye mpira, huku akipaza sauti "piga mbeleeeeeee"
 
sawa mods....unaona wengi wanaamka na wote unatetemeka ukijua waberoya!!! niko juu!

Labda zamani kidogo ulikuwa una mawazo constructive, hata kama tulikuwa hatukubaliani yote lakini in some cases ulikuwa uko independent. Kilichokukumba hapa kati unakijua mwenyewe, sihitaji kuwa mod kujua ulivyojivua gamba na kuamua kuja kivingine lakini waelewa tulikung'amua, na kwakuwa watu kama nyie tunao kila siku kila mahali tunafahamu jinsi ya kuishi nanyi.

Mkuu MM,Hii ndiyo tofauti yangu na wewe huna mchango unaweza kuisaidia CDM.Labda kwako mchango ni kusifu kila kitu ebu rejea tena na tena bandiko langu unaweza kuokota kitu ahaaa aaa.

Ngongo nadhani wewe ndio unapaswa kunisoma vizuri, Nitarudia kukukumbusha kwamba chama chetu kinaendeshwa kwa mujibu wa katiba, na mimi kama kiongozi, ninatumia vikao kukikosoa chama na sio kukosoa tu bali kutoa mapendekezo ya namna ya kukisaidia chama changu. Kuamua kuwa kiongozi kwa kujitolea bila kulipwa posho wala mshahara unatakiwa uione tofauti hiyo kwamba mimi ninakisaidia zaidi chama kwa hali na mali, wewe uko jukwaani kama mshabiki wa mpira anayejiona kuufahamu mpira kuliko wachezaji walioko dimbani. Na ili kujiridhisha kwamba tunapiga kazi, nimekukaribisha ukonga uje uone kazi inayofanyika, mimi nakuja arusha mara nyingi, nafahamu hali ya huko ndio maana huwezi kunidanganya chochote kinachojiri huko.

Hapa jukwaani kuna watu wengi sana wanaoikosoa chadema, lakini ukichunguza kwa makini utaona kuna watu hapa wao kazi yao ni kukosoa tu kila kitu na mengine yanakuja kuwa prove wrong lakini bado wamo tu na kukosoa kila jambo na wewe ni mmoja wao. Kuna watu wanakosoa na unaona kweli hapa kuna kitu cha msingi na tunakubaliana nao. Wala huoni tukibishana nao, tunaishia kuwapa "like" na kwenda nao chemba kupata zaidi.
Sasa wewe ndugu yangu umeamua kuchukua upande mmoja tu wa kuwa anti-chadema hata kwa mambo mema, hapo ndipo hatuwezi kukubaliana hata siku moja.
 
Labda zamani kidogo ulikuwa una mawazo constructive, hata kama tulikuwa hatukubaliani yote lakini in some cases ulikuwa uko independent. Kilichokukumba hapa kati unakijua mwenyewe, sihitaji kuwa mod kujua ulivyojivua gamba na kuamua kuja kivingine lakini waelewa tulikung'amua, na kwakuwa watu kama nyie tunao kila siku kila mahali tunafahamu jinsi ya kuishi nanyi.

Ngongo nadhani wewe ndio unapaswa kunisoma vizuri, Nitarudia kukukumbusha kwamba chama chetu kinaendeshwa kwa mujibu wa katiba, na mimi kama kiongozi, ninatumia vikao kukikosoa chama na sio kukosoa tu bali kutoa mapendekezo ya namna ya kukisaidia chama changu. Kuamua kuwa kiongozi kwa kujitolea bila kulipwa posho wala mshahara unatakiwa uione tofauti hiyo kwamba mimi ninakisaidia zaidi chama kwa hali na mali, wewe uko jukwaani kama mshabiki wa mpira anayejiona kuufahamu mpira kuliko wachezaji walioko dimbani. Na ili kujiridhisha kwamba tunapiga kazi, nimekukaribisha ukonga uje uone kazi inayofanyika, mimi nakuja arusha mara nyingi, nafahamu hali ya huko ndio maana huwezi kunidanganya chochote kinachojiri huko.

Hapa jukwaani kuna watu wengi sana wanaoikosoa chadema, lakini ukichunguza kwa makini utaona kuna watu hapa wao kazi yao ni kukosoa tu kila kitu na mengine yanakuja kuwa prove wrong lakini bado wamo tu na kukosoa kila jambo na wewe ni mmoja wao. Kuna watu wanakosoa na unaona kweli hapa kuna kitu cha msingi na tunakubaliana nao. Wala huoni tukibishana nao, tunaishia kuwapa "like" na kwenda nao chemba kupata zaidi.
Sasa wewe ndugu yangu umeamua kuchukua upande mmoja tu wa kuwa anti-chadema hata kwa mambo mema, hapo ndipo hatuwezi kukubaliana hata siku moja.

looser! mm ni yuleyule mkuu........khabari yangu kubwa
, ukiipata utanipigia saluti mfululizo!

haya mlienda ikulu kufanya nini? je unaamini move ya slaa ya kutokuchekacheka na kikwete ni nzuri na akina mbowe wameaibika? lini utaisaidia chadema wewe?

vipi kuhusu posho?

unajitahidi sana, utapata tu ubunge wa kupendelewa..na utalisha wanao! UDSM haijakusaidia mkuu
 
Ha ha haaa, looser ukose kuwa wewe niwe mimi!? hebu jiangalie unavyotapatapa humu jukwaani na mi-ID kibao lakini bado tunakufahamu tu! tehe tehe teheee,,,!! na usitarajie hata siku moja mimi nikupigie saluti mtu mnafiki tena mwenye majungu na fitna kama wewe. Kujifanya kumsupport zito na kumponda Slaa! Kujifanya kumsifia zito na kuiponda chadema! na kwa kuwa ni mnafiki hukujificha, siku moja ukaibuka na majungu kwamba zito anamilki "crushing plant", aibu iliyoje?

Mambo ya ikulu na posho muulize zito, si unajidai kuwa yeye ni rafiki yako, isitoshe si unasema wewe khabari yako kubwa lakini umeshindwa kujua mambo ya kawaida kama hayo?

Kuhusu ubunge wala usitie shaka, nitaupata kwa kwa majaaliwa yake mwenyezi Mungu mwaka 2015 nakukaribisha ukonga uone moto wangu. Hadi muda huu ninapoandika hapa JF familia yangu inaishi maisha mazuri kabisa kwa kiwango cha kitanzania. Wana uhakika wa kula, kulala, kuvaa, kusoma na kusafiri kokote wanakohitaji kwenda, Mungu anipe nini tena. Na kama wewe unatarajia kupewa ubunge nakupa pole kwa kushindwa kulisha familia yako kwa kutegemea fadhila za wanaokutuma.

Mwisho, matatizo ya kudesa yamekuathiri sana mkuu hadi unadhani kila mtu kasoma UDSM, sometimes uwe unachanganya na zako, ebo!
 
Back
Top Bottom