Rais Kikwete atua Nairobi kushuhudia Uhuru Kenyatta akiapishwa!

Kenyatta alipata mtoto uzeeni! utafikiri mjukuu!


Mtoto wa Kwanza wa Kenyatta alizaliwa na mkewe Grace ..mwaka 1920 anaitwa PETER MUIGAI KENYATTA...na huyu alipata kumpatia uwaziri mdogo wa Nje...angalieni historia vema......huyu Uhuru alimpata baada ya kutoka kifungoni....mwaka 1963.

Mzee Kenyatta alikuwa akimuita Mwalimu Nyerere MWANAYE..Kwa sababu alikuwa na mtoto mkubwa kuliko yeye [mwalimu alizaliwa mwaka 1922]

Kenyatta alikuwa na ndoa za mitaala akiwemo mke Mzungu. Mama Ngina [mamaye uhuru] alikuwa mke rasmi kitaifa ..first lady
 
KIZAZI CHA KINAFIKI kimeongezeka sana Tanzania miaka hii!!
Asingeenda Kenya vile vile mngetoa maneno yenu ya KIPUUZI.
Kuna wakati na chukia hii kitu DEMOKRASIA.
Nchi hii inatakiwa kupelekwa kwa mkono wa chuma, hata kwa miaka 20 mbele.
 
Ninashuhudia hotuba ya kuapishwa Uhuru Kenyatta iliyo ya kutia moyo na matumaini sana!ndani ya siku 100 za kwanza za utawala wake pamoja na mengi mazuri ameahidi haya!
1.wajawazito na watoto wote kutibiwa bure
2.wanafunzi wote kupatiwa computer(laptop)

Najiuliza pamoja na ukubwa wa tanzania,wingi wa rasilimali tulizo nazo ukilinganisha na Kenya,serikali dhalimu ya CCM Imeshindwa nini kuboresha maisha ya watanzania?Matarumbeta ya CCM mnaweza kulitetea liCCM lenu?CHADEMA wakisema haya yanawezekana nyie mnasema hayawezekani.Mnaweza nini sasa?Natamani sana kuwa raia wa KENYA!

Ni aibu! Tanzania tumeshindwa rasilimali zetu na pia tumeshindwa kujisimamia kabisa kama taifa kwa amendeleo yetu na ya kizazi chetu. Laana kubwa!. Halafu kumbuka WaKenya bajeti yao sio 'tegemezi' kabisa.kama yetu inayo tegemea wafadhili. Hawa jaamaa walishawandia Wafadhili na wakaamua kivyao vyao.
Pamoja na mapungufu ya viongozi wao lakini wako very responsible na wana displine ya hali ya juu katika masuala ya usimamizi wa mapato na matumizi ya pesa za umma kulinganisha na bongo.
Vyanzo vyao vya mapato ni limited ukilinganisha na sisi twenye rasilimali luluki lakini hata maendeleo yenyewe hayaonekani. Na kumbuka hakuna mtoto anakaa chini huko katika shule zao ndio maana tumekuwa mahodari ya kufungasha mitoto yetu kwenda kusoma Kenya kuanzia elimu ya chekechea, huku wenyewe Wa Bongo tukiona ile ni fahari. Aibu kubwa wallahi.
 
Tafuta cha kuongea co kumtaja atakae wahukumu walio hai na wafu,YESU ni mungu hutaki subiri hukumu.

Poleni sana wakiristo moto unawangoja., mungu gani atakayekaa tumboni mwa mama Maryam kama ulivyokaa wewe kwa mamako halafu ukazaliwa ukaja duniani., yesu alikula chakula ili asije akafa kwa njaa then ameingia toilet kama unavyoingia wewe kwenda kujisaidia., isitoshe umri wa mungu wenu (yesu) pia unajulikana soma bibliya yako vizuri., mungu gani atakayekuwa miaka yake inahesabika? Yesu mwenyewe alikuwa anamuomba Allah na akifanya ibada kumuomba Allah abaye amezisimamisha mbing na Ardhi na kuumba kila kilichomo ndani yake, Yesu amezaliwa amezikuta mbingu na ardhi kama ulivyozikuta ww alafu unakuja kumuabudu kama yeye ni Mungu? Hakuna maandiko vitabu vyote hata hiyo bibliya yenu yesu anaposema yeye ni mungu na mumuabudu mnapata shida bure kuendeleza ukafiri tu.,
 
Back
Top Bottom