Rais Kikwete atua Nairobi kushuhudia Uhuru Kenyatta akiapishwa!

Haisaidii Hata KIDOGO... UHURU ataapa kwa JINSI UPENDAVYO lakini ni MWIZI wa ARDHI; BEPARI asiyejali walala hoi angalia THE KIBERA SLAMS just outside NAIROBI hawakumpigia kura UHURU KENYATTA... MOMBASSA na LAMU maeneo mambayo VIJANA wengi wa KIISLAMU hawana ELIMU BORA na AJIRA BORA hawakumpigia kura UHURU KENYATTA... Sasa ni kwanini hamtaki kuangalia the REAL CAUSE of the REAL PROBLEMS of LOW CLASS KENYAN'S Mnakimbilia UBEPARI na MENO MAZURI yanayotoka Mdomoni mwa UHURU KENYATTA... Hamjasahau??? Nani pia alikuwa na Maneno matamu alipokuwa anagombea urais tena???

Ardhi yenyewe mkipewa kulima mnaweza au mnapayuka tu...
 
Kama hao Waislam hawakumpigia kura wametimiza wajibu wao lakin wapo waliompigia kura na kashinda nw ni Rais. Umaskini wa hao vijana wa Kiislam ungeuelekeza kw Rais aliyetoka umpe nafas uyu ajaye atimize wajib wake ndipo umlaumu tho sijawah ona rais duniani aliyekidhi kiu ya wananchi wake wote!
 
katiba ijayo iweke ukomo wa rais kusafiri,huyu fast jet ametisha!!!

ule uzi wa safari muweka updates amechoka kazi

lazima achoke ku-update maana safari ni nyingi kiasi kwamba atatakiwa muda mwingi awe online ku-update.
 
Bora Fisadi tunayemjua ameiba na amewekeza hapa Tz na tunaona mali zake kuliko mafisadi waliotuibia na hatujui hizo mali wamezificha wapi! By Ndallo

na majuzi tu alikua huku inawezekana katubu madhambi yake yote

382361_308996255793686_235650339_n.jpg
 
katika kuonesha kwamba chama cha magamba ccm kinakubalika zaidi kenya na kudhihirisha ushawishi mkubwa ulio nao ccm kwa watu wa kenya raisi kikwete alipata mapokezi ya kipekee ukilinganisha na viongozi wa nchi zingine. Chadema wana kazi kubwa ya kutafuta kuungwa mkono na serikali za afrika mashariki 2015. Isibweteke sana na misaada ya nchi za ulaya pekee hapa afrika mashariki kuna misaada ya kutosha kama jinsi ccm ilivyoisaidia chama cha uhuru, hatujui ni mabilioni mangapi ccm imemwaga kenya ila tuna uhakika 2015 uhuru na serikali yake haitaisahau ccm. chadema ijizatitit hapa afrika mashariki.
 
Hii ungeipata video yake ingekuwa safi sana. Huwa nasikia raha sana kuona Rais wa nchi yangu anapokelewa kwa furaha ugenini...
 
Hao walioshangilia walibebwa na mafuso toka mpakani mpaka Nairobi, Usifanye mchezo na propaganda za CCM! Na kwa kufuja mali hawana mfano!
 
Ninashuhudia hotuba ya kuapishwa Uhuru Kenyatta iliyo ya kutia moyo na matumaini sana!ndani ya siku 100 za kwanza za utawala wake pamoja na mengi mazuri ameahidi haya!
1.wajawazito na watoto wote kutibiwa bure
2.wanafunzi wote kupatiwa computer(laptop)

Najiuliza pamoja na ukubwa wa tanzania,wingi wa rasilimali tulizo nazo ukilinganisha na Kenya,serikali dhalimu ya CCM Imeshindwa nini kuboresha maisha ya watanzania?Matarumbeta ya CCM mnaweza kulitetea liCCM lenu?CHADEMA wakisema haya yanawezekana nyie mnasema hayawezekani.Mnaweza nini sasa?Natamani sana kuwa raia wa KENYA!
 
Kwingine kote nakuunga mkono kwa 100% isipokuwa hapo tu penye nyekundu, hiyo ni sawa na kumkufuru Mungu aliyekufanya kuzaliwa Tanzania na kuwa Mtanzania.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom