naninibaraka
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 910
- 668
Bora hawa walevi wa pombe,wengine walevi wa chupi kawakumbatia
Ina maana hao walevi na wenye madeni mitaani ni Team Lowassa tu ama?
Hivi si amfukuze Lowassa kuliko kumnyanyasa kiasi hiki hadi kuwachafua wafuasi wake hadharani na kuwadhalilisha kiasi hiki?
Ina maana hao walevi na wenye madeni mitaani ni Team Lowassa tu ama?
Hivi si amfukuze Lowassa kuliko kumnyanyasa kiasi hiki hadi kuwachafua wafuasi wake hadharani na kuwadhalilisha kiasi hiki?
rais anaongelea petty issuesSasa madeni ya MADC yanamhusu vipi mkuu wa kaya????
anza Kingu aliyekuwa DC IgungaBen sasa wewe mwanasiasa gani usiejua siasa? Hiyo ndio siasa...utakaaje na watu ambao sio team yako na hawakukubali? Watauza team tu..tena for free..ulitaka akae nao akale nao urojo? Ingekua mm...ningewafunga kabisa.
NB:Na declare interest mm ni team lowasa
rais anaongelea petty issues
Ukikosa uongozi wakati huu wa JK, hauji kuwa kiongozi maisha yako yote!!! Juliana Shonza
Mara Kadhaa kumekuwapo na kundi la wateule wa rais wanaoondolewa ktk nyadhifa zao na kuambiwa watapangiwa kazi nyengine,
kwa bahati mbaya mara nyingi hatupati mrejesho wa kazi nyengine walizopangiwa, kwa mfano mama sipora, licha ya kufanya kazi kwa uadilifu wa hali ya juu aliondolewa ktk wadhifa wake kwa kilichelezwa atapangiwa kazi nyengine,ngependa kujua anafanya kazi gani? vivo hvyo kwa wale wakuu wa wilaya walioachwa ktk panga pangua ilopita.
Mama "Sipora" yupi, au unamaanisha yule fedhuli, mhuni Zipora Pangani? Uadilifu upi, kuwanyang'anya wananchi mashamba na kujimilikisha?
Tatizo Mkuu una haraka sana ulishindwa nini kuyasubiri bhana haya sasa katatafute utuletee
Ndo maana simsikii tena mrisho gambo!
Mbwembwe zote zile!
Cjui kapewa nafasi gani tena
Yule hafai hata ujumbe wa nyumba kumi,mbwembwe zake zilikuwa za kishenzi tu na kujiona kama nae ni mtoto wa kikwete.mpuuzi sana gambo