Rais Kikwete apigiwa Simu ya Dharura arejee Ofisini

Status
Not open for further replies.
JK hawezi kurudi kwa ajili ya ki-Chawa kuonekana katika shati
waliobaki CCM wataimaliza UKAWA bila ya JK

Usijifanye unajisaulisha kwasabubu tu ulikua kambi flani ? Kama nyerere aliitwa kwa dharura ili kukinusuru chama, iweje jk asiitwe wakati ndio mwenyekiti wa ccm na raisi wa nchi. Acha mazoea....ya simba na yanga.
 
Sijaona suala la dharula za kumpigia simu Rais. Kama kweli wamepiga basi uwezo wao wa kutafakari mambo ni mdogo sana.
 
CCM walipoambiwa hawawezi kuzuia mafuriko kwa mkono walidharau,Sasa manyunyu yameanza wanaanza kukimbia ovyo ovyo.

Ni vema kama ni watu majasiri wasubiri mafuriko kamili na ndipo tuone wanakabiliana nayo vipi.

Taarifa zilizopo kwa sasa ni kuwa Lumumba hapakaliki tena,Kila mtu anamtupia lawama mwenzake,JK nasikia kapigiwa simu ya dharura arejee kuokoa jahazi.

Hayo. Ndiyo mafuriko. Wazuie basi
 
Bavicha acha kujitungia vistory ..Lowasa hana madhara kabisa CCM itashinda mapema sana...R.I.P Chadema..
 
Mtalialia sana mwaka huu

Wakati UKAWA wakitamba kwa kunywa SUMU, CCM inaendelea na mpango wa mazishi!
POLENI SANA UKAWA KWA KUONGOZWA NA MAJUHA!

NB: PAMOJA NA KWAMBA MIMI SI MWANA'UKAWA' LAKINI BADO NASHANGAZWA NA MAAMUZI YA KIJINGA WANAYOFANYA DAKIKA ZA MAJERUHI. JE, HIKI NI KIPIMO CHA JINSI MAGUFULI ANAVYOTISHA?
 
Lowasa ana mjuwa vyema kikwete na kama hamuamini lowasa ajaribu kuongea chochote wakati huu kama kweli anauchungu wa kukatwa bila sababu.

Ni kweli JK hana ubavu kwa El maana hata wakati ule wa hotuba na wajumbe waliposema wanamtaka El alishindwa kuwa imara kutetea dhamira yake
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom