Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,143
- 3,830
So hard to be underground! Mimi nalia kila siku kuwa, tatizo si rais wala kiongozi yeyote isipokuwa sisi wananchi tupo legege sana kiasi kwamba hatuwezi kujaribu wala kuthubutu ila tunabaki tunalalamika kama mavuvuzela, laiti wote tungekuwa na roho kama za wanachadema tungeshafika mbali sana, tukiamshwa tudai haki zetu viongozi [NENO BAYA MNO] wanaanza kuimba wimbo wa amani halafu wananchi(wapumbavu) wanaitikia kwa sauti ya hatutaki vita! Kwa mwendo huu lazima laana ya uoga iwe mbele na nyuma ya watanzania
A friend of my enemy is my enemy too
A friend of my enemy is my enemy too