LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,348
- 3,219
Hakuna jipya hapa daadekiiiiiiii!!!!!
huyo jamaa nazan anaitwa kyuki au quk ni mmoja wa wanasheria aliekua katika ile tume ya mabadiliko ya sheria na pia ni mfanyakazi wa bunge kwa sasa. binafsi namjua kama akitulia anaeza akafanya mabadiliko pia hanaga mbwembwe kama lifisadi werema ingawa hela ni hela tu. ENDAPO ALIECHAGULIWA NI HUYO KYUKI
ahsante mkuu. Nakuaminia kwa press release za ikuluRais Jakaya kikwete amemteua George Masaju kuwa mwanasheria mkuu wa serikali katika uteuzi uliotangazwa punde. Nawawekeeni taarifa nzima ya uteuzi soon
Rais Jakaya kikwete amemteua George Masaju kuwa mwanasheria mkuu wa serikali katika uteuzi uliotangazwa punde. Nawawekeeni taarifa nzima ya uteuzi soon
mwanasheria mpya ni nani wadau
Mbona mie sijaelewa, aliyeteuliwa ni nani? au mzaha?