CHAMVIGA
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 7,687
- 2,238
Last edited by a moderator:
mwa na chuo wa wapi wwunadharirisha elimuyaTZ
Mkuu kwan kateuliwa na nani na msimamo wa huyo mteuzi juu ya escrow ukoje?Je unadhani anaweza kuteua mtu mwenye msimamo tofauti na yeye?Hii sio sahihi kabisa. Huyu mtu alikuwa mtu wa karibu kabisa na yule aliyeboronga. Je kama alishirikiana nae kufikia maamuzi au pengine alipata kumshauri bosi wake kufikia uamuzi mbovu, si ni wote wale wale tu. Hii sio sahihi kabisa.
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana George Mcheche Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Uteuzi wa Bwana Masaju ulianza jana, Ijumaa, Januari 2, 2015 na ataapishwa keshokutwa, Jumatatu, Januari 5, 2015, Ikulu, Dar Es Salaam. Kabla ya uteuzi wake, Bwana Masaju alikuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Bwana Masaju pia amepata kuwa Mshauri wa Sheria wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.